sababu za RAIS GEORGE W BUSH kukaa Tanzania kwa siku 4.

kupe

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
1,035
326
Kwa anayefahamu sababu za aliyekuwa rais wa Marekani. Mr George Bush kuja na kukaa Tanzania kwa siku nne. Akiwa na mwenyeji wake rais Kikwete. Nini hasa lilikuwa lengo lake.
 
kwani kuna kosa la Bush kukaaa siku nne mkuu...ama sijasoma kwenye mstari hoja yako?
 
Kwa anayefahamu sababu za aliyekuwa rais wa Marekani. Mr George Bush kuja na kukaa Tanzania kwa siku nne. Akiwa na mwenyeji wake rais Kikwete. Nini hasa lilikuwa lengo lake.
Alikuja kujiridhisha kama vile vyandarua vyake vinafanya kazi kama inavyotakikana ,kujikinga na mbu anapolala.

Alikuwa analala nje na huku akitumia hivyo vyandarua.

Anataka kuongeza mgao wa vyandarua hivyo ili apate "ka-ranch kadogo katika hifadhi ya wanyama". Bush anapenda kuwinda.

Usisahau pia Bush family ni wafanyabiashara wazuri katika sekta ya mafuta.
 
we unafikiri ni nini? Tanzania ni sehemu nzuri sana kwa mapumziko wewe tu hujui, ndo mana watalii ni wengi sana.
 
1.Kigamboni
2.Uran
3.Barrick Gold
4.Air Base
tanganyikajeki . Sometimes . IGWE . Nonda. . asigwa . kussy . mgomba101 .

Angalia hii video kwenye dakika 2:24 utaona Base ya Nimitz class carrier USS Dwight D. Eisenhower (CVN-69) ipo katika Tanzanian water ... Dar es Salaam kwa mbele kwenye High Seas.






Kituo kwa mujibu wa AFRICOM kinaitwa CJTF-HOA/East Africa ... (ni Tanzania)

Hii makao makuu ya muda yapo Stuttgat (Ujerumani) ... lakini kwa ukweli location yake ni Tanzania.

Watu wengi hawajui ... hata waliopo kwenye majeshi yetu hayajui hayo .... Ila ndio ukweli!



AFRICOM-Commands-Big.jpg


nimitz3.jpg
 
Last edited by a moderator:
alikuja kujilizisha kama kweli tanzania ni masikini na akajionea masai walivyo masikini
 
Back
Top Bottom