Power Tila latumika kama Ambulance | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Power Tila latumika kama Ambulance

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kifulambute, Oct 3, 2012.

 1. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #1
  Oct 3, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,509
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  wanajamvi hivi ni kweli tumefikia huku? nimeongea na jamaa yangu kule mafinga Iringa na kunambia zile power tila zinazotolewa na wizara ya kilimo na mifugo zinatumiaka kama ambulance ya kubeba wajawazito.........this is dangerous
   
 2. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  wewe ndo umesikia leo?, au wewe shida za huko vijijini huzijui, mbona hata pikipiki zinzsafirisha maiti?, matoroli yanabeba wajawazito n.k!
   
 3. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #3
  Oct 3, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,798
  Likes Received: 36,830
  Trophy Points: 280
  Tanzania hakuna linaloshindikana.

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 4. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #4
  Oct 3, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  ndo safi wakome
   
 5. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #5
  Oct 3, 2012
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Nadhani wengi watakuwa wanajifungulia njiani maana mwendo wa power tiller ni wa kurukaruka kama farasi au nyumbu. Humo kwenye power tiller yafaa awepo mkunga wa jadi kwa emergency.
   
 6. MR. ABLE

  MR. ABLE JF-Expert Member

  #6
  Oct 3, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,476
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mimi nilishanagaa sana hata kuona serikali imeleta bajaji na kuzifanya ambulance.
  Hivi hebu nisaidieni kwa wale wenyekufahamu, je bei ya Hiace ni shilingi ngapi? na je mashangingi ya viongozi wa serikali ni shilingi ngapi?
  Imeshindikana vipi kununua Hiace na kuzifanya ambulance? na kuzisambaza nchi nzima?
   
 7. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #7
  Oct 3, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,509
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  15M unaleta Hiace pouwa kabisa
   
 8. S

  SURUMA JF-Expert Member

  #8
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
   
 9. S

  SURUMA JF-Expert Member

  #9
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Wala tusiende mbali hadi level ya Hiace; kuna mini-van za MARUTI; mimi naona karibu hospitali zote za jamaa zetu wenye asili ya Asia wanazo hizi gari kama ambulance zao. Mara ya mwisho niliona zinatangazwa gazetini na CFAO (zamani DT DOBIE) mwaka jana, gari moja mpya kabisaaaa ilikuwa ni chini ya Tshs 8,000,000.00 (milioni nane tuu).

  Sijui bei ya Bajaj Ambulances zilizosambazwa nchini; lakini kama kweli serikali ingekuwa na nia ya kusaida wananchi wake wenye kuhitaji kusafirishwa kufika sehemu ya huduma ya afya WASINGESHINDWA KUNUNUA HATA MARUTI vans!!!
   
 10. f

  filonos JF-Expert Member

  #10
  Oct 3, 2012
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 651
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Hayo ni MAISHA BORA KWA WOTE chapakazi KILIMO KWANZA wagojwa baadae pole
   
 11. MR. ABLE

  MR. ABLE JF-Expert Member

  #11
  Oct 3, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,476
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  HUU NI UHUNI WA MAKUSUDI UNAOFANYWA NA SERIKALI YETU KUSHINDWA KUBORESHA MAISHA YA WATANZANIA.

  SAFARI MOJA TU YA DHAIFU KWENDA KUMWANGALIA MFALUME MSWATI AKICHAGUA TOTOZ ZAKE INGETOSHA KUNUNUA HIZO mini-van za MARUTI NGAPI?
   
 12. B

  Bahati Risiki JF-Expert Member

  #12
  Oct 3, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 531
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Jamani Tanzania haina raisi ina kilaza kwa jina DHAIFU. Je ana habari ni nani amebebwa na punda, bajaji, sijui ambulanse? Yeye anachofikiria ataamkia wapi kwenye maandazi na vitumbua vya kutosha? Ama kweli ****** hakui!
   
 13. S

  SURUMA JF-Expert Member

  #13
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Asante! Nilikuwa natafuta sentensi moja ya kuelezea KINACHOENDELEA!!! UHUNI WA MAKUSUDI....
   
 14. h

  hippocratessocrates JF-Expert Member

  #14
  Oct 3, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 3,612
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
   
Loading...