mna ushauri gani juu ya msg kama hizi!!!!!

Rebel volcano

JF-Expert Member
Jun 1, 2012
403
86
ni mara nyingi watu tofauti hupokea msg kama hizi sawa kwa njia ya posta au kwa e-mail,isome hiyo msg na nipe ushauri wako,mara nyingi hizi msg hutoka south africa,ghana,nigeria,brasil,canada.
 
ni mara nyingi watu tofauti hupokea msg kama hizi sawa kwa njia ya posta au kwa e-mail,isome hiyo msg na nipe ushauri wako,mara nyingi hizi msg hutoka south africa,ghana,nigeria,brasil,canada.

Hofu yako ni nini mpaka ufute jina, email address na namba za simu kwenye hiyo barua? Au unahusika nini? Kwakifupi hiyo ni scam letter/mail ukikutana nayo huna haja ya kupoteza muda ila ni kuachana nayo hakuna ushauri zaidi ya huo..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom