MKUNGA
JF-Expert Member
- Dec 10, 2009
- 441
- 71
Nimepita Chalinze asubuhi hii bus la Hai limeligonga bus la Al Saedy kwa nyuma,abiria wapo stranded pale kama km 3 kutoka Chalinze mjini. Inasemekana chanzo ni tabia ya madereva wa mabasi kutokeep distance. Ajali hizi zitatumaliza kwa kweli. Sheria zibadilike madereva kama hawa waozee jela.