Upendeleo wa wazi kwa makatibu muhtasi wa idara ya uhamiaji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Upendeleo wa wazi kwa makatibu muhtasi wa idara ya uhamiaji

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Juliani Mumbi, Oct 3, 2012.

 1. J

  Juliani Mumbi Member

  #1
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Uchaguzi wa watumishi wa Idara ya Uhamiaji kwa kozi mbalimbali umeonesha kuna tatizo kubwa hasa baada ya Makatibu Muhtasi Grace Kivembele na Maizara yusuf Kudhaminiwa kwenda Manzini Swaziland wakati wengine wakikosa. Watumishi haohao mwaka uliopita walipelekwa Kampala Uganda kwa pesa za Serikali na Mwaka huu utaratibu wa kuwapeleka unafanyika kwa SIRI kubwa kwa kuwa wanaowabeba wanajua hii ni Kashfa. Ni vyema haki ikatendeka. Juliani
   
 2. UPOPO

  UPOPO JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 1,371
  Likes Received: 718
  Trophy Points: 280
  sasa wewe unalalamikia JF si umwandikie muhusika?acha uoga na majungu
   
 3. howard

  howard Senior Member

  #3
  Oct 3, 2012
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 188
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  duh na majina unataja? huwa wanasoma JF hao?
   
 4. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #4
  Oct 3, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  hamuna vikao huko kwenye idara yenu?, BTW, si nasikia idara yenu ni CORRUPT kupindukia?, so munafanyiaka coruption hata ninyi kwa ninyi, ni sawa na nguruwe kumtafuna mwanaye, no problem.
   
Loading...