Nini maana yake?

amba.nkya

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
446
131
Habari wakuu,
Pamoja na kuwa mwanachama namshiriki wa JF, huwa sielewi maana ya Views, mfano huwa kuna wachangiaji wa threadau post fulani utaona maelezo kama hayo chini:

Replies: 317
Views: 2,105
Kwa uelewa wangu katika maelezo hayo ni kwamba kunawanachama/washiriki 317 wamechangia au kujibu thread/post iliyoletwa hapa jamvinina ukifuatilia utaona wachangiaji ambao wanawiana na idadi hiyo. Nisichoelewakwa mfano wa hapo juu ni Views: 2,105 maana yake nini?
Msaada kwenu wadau.............:confused2:
 
Views=Waliobofya ile thread na kuisoma +waliojibu katika thread hyo.
 
views ni walioifungua hiyo thread na kuisoma bila kuchangia na pia walioifungua wakaisona na kuichangia. so jumla yao ndo hiyo 2150
 
ahsante mkuu, lakini kama wanaobofya na kuisoma thread kwanini IDs zao hazionekani kama wanaojibu (Replies:317, for that case)? Naomba ufafanuzi zaidi mdau.
 
views ni walioifungua hiyo thread na kuisoma bila kuchangia na pia walioifungua wakaisona na kuichangia. so jumla yao ndo hiyo 2150

ahsante CL, lakini kama wanaobofya na kuisoma thread kwanini IDs zao hazionekani kama wanaojibu (Replies:317, for that case)? Naomba ufafanuzi zaidi mdau.
 
hauwezi kuona id's zao bcs others ni guests ambao ni unrigistered so data zao huwez kuzipata na hao members walio view page but didnt comment it is not able to get their ids bcs server ita identify the data of the member once if he log in and comment ulternatively it is imposible to acquire his id!
 
Mkuu Hasason, nakushukuru kwa ufafanuzi wako, nimeelewa sasa:clap2:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom