Polisi kama hawa wanastaiki kuwajibishwa au baada ya kufanya kazi yao hiliyo waleta uwanjani wanapiga picha wachezaji ni mapenzi au ukosefu wanidhamu za kazi. Je polisi wa ligi kuu pale Uingereza...
Jamani nadhani imefika wakati Serikali iruhusu kufunguliwa kwa SUPER market za Madawa ya kulevya kama zilivyo bidhaa Zingine!.Ni mtazamo tu,ila huu mtazamo umekujaa baada ya kuona mateja...
kuna kitu kinaitwa CDA na kuna kitu kinaitwa manispaa sasa yupi kati ya hawa wawili anahusika na ugawaji na upimaji wa viwanja coz unaweza ukanUNUA kiwanja chini ya CDA na ukaporomosha kitofali at...
hapo nyuma nilikua naona posts za watu kwenye jukwaa hili wakilalamikia huduma za mabasi ya mikoani haswa mwanza, at first nlijua ni ushindani tu wa kibiashara kwasababu madai mengine yalikua kama...
Ndugu zangu, kuna matapeli yamneibuka yanatapeli kweli kweli. Anatumia namba 0716494277 kutapeli. Anachofanya ni kukutajia jina la ndugu au rafiki yako wa karibu. Anasema yupo kwenye semina, hivyo...
Jumanne oktoba 2 2012, asasi isiyo ya serikali ya haki madini inayojishugulisha na uchechemuaji, uzengezi (ushawishi na utetezi) watafanya mkutano wao wa pili wa hadhara katika maeneo ya geita...
Bonyeza Viodio
Zanzibar plagued by growing heroin addiction - YouTube
Zanzibar plagued by growing heroin addiction
Published 01 October 2012 02:18 2384 Views
There are an estimated 9,000...
Wadau habarini na Alasiri?
Habari za uhakika nilizonazo ni kwamba asubuhi ya leo majira ya saa 2 kuna kijana mmoja (jina nalihifadhi kwa sasa)amepata ajali katika kijiji kimoja kinaitwa Ikina...
2 October 2012
You really have to be a geography freak to know about these countries from the list. It's irrelevant to us how recognized they areas countries but they surely look at themselves...
Kwa taarifa nilizozisikia kutoaka ITV si muda mrefu kuna ajali imetokea kijiji cha Ngogwa wilayani Kahama basi kutoka Dar kuelekea Bukoba limegongana na lori na limeua watu 4 papo hapo na majeruhi...
Ni jana Stephen Wasira alisikika kupitia vyombo mbalimbali vya habari akiwakana hadharani watoto wa kaka yake kuwa eti siyo binti zake. Sababu kubwa ya kuwakana huko ni pale Dr. Slaa alipotangaza...
Bongo Hatumo soma zaidi hapo chini...... Haka kasurvey kametoka BBC lakini nazani wamesahau safari ya mbagala 2 mwenge jioni.... Kwanza lazima upiganie gari, alafu nauli kubwa na bado hujajumlisha...
Tunapoona picha za chereko tunaona matukio ya karibuni ya wahusika, bila shaka hii inajenga taswira ya tukio hususa.
Ninaona tatizo pale wale waliokufa picha zao zinazotumika ni zile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.