hivi traffic police ni mtendaji wa chini tu!

Prince Nadheem

JF-Expert Member
Feb 25, 2012
1,253
1,028
nipo kwenye daladala ya ubungo gongo la mboto hapa maeneo ya buguruni,dereva kashuka anamkabidhi gari deiwaka bila kificho katika foleni wanavuliana sare hapo barabarani hofu hawana.
Jambo la kusikitisha tumepanda hili gari na trafiki polisi akishuhudia drama yote lakini hajathubutu hata kuhoji. Lakini nina imani kama angekuwa chini na kuona huo mchezo lazima angekuja kuhoji. Je hawa wa2 wana limitation ya kufanya kazi!?
 
Back
Top Bottom