Hembu Mnukuu GodBless Lema Hapa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hembu Mnukuu GodBless Lema Hapa!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ndallo, Sep 28, 2012.

 1. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #1
  Sep 28, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,133
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  "Mimi ni bora nikapigwe risasi lakini mchungaji akija kusoma risala aseme marehemu amekufa akipigania haki, kifo kwangu kimeshapoteza kumbukumbu na uoga kwangu umeshapoteza kumbukumbu, siogopi kufa siogopi jela ila naogopa kwenda jela kwa wizi wa kompyuta, Tv au kubaka mwanamke lakini siogopi kwenda jela kwa kupigania haki za watu, wanaoleta vitisho ninawakaribisha.. ni vingi na vingine tunavifanyia utafiti sisi wenyewe tujue chanzo ni nini, hata muundo wa serikali ulivyo dhidi ya wapinzani ni kitisho namba moja, kwamba wewe ni mbunge wa Chadema na unafanya kazi na DC ama na mkuu wa mkoa ambae ni mjumbe wa kamati ya siasa ya CCM wilaya.

  "Kauli nyingine aliyoitoa Lema ni kuhusu kesi yake kwa sasa kwa kusema "sitaki mahakama ya rufaa inipendelee sitaki hata kidogo, ikinipendelea nitalia, nitaogopa nitasikitika nikijua nilifanya makosa ya kuua alafu nikaachiwa huru, niko tayari kurudi kwenye uchaguzi na nitashinda kuliko mbunge yeyote Afrika Mashariki kwa kura za kubeba na Canter ila ninachotaka ni haki itendeke, ila nimepata faraja kwamba anaeiongoza kesi yangu ni jaji mkuu wa Tanzania nikiamini atapitia vipengele vya kisheria vizuri kabisa"

  Pamoja na hayo yote, Godbless Lema amesema hajawahi kujuta kuwa nje ya bunge ila anajuta kwa nini Mahakama iliingiliwa na kumfanya ajue matokeo ya kesi siku 14 kabla ambapo namkariri akisema "Halima Mdee alinipa matokeo ya kesi mpaka kifungu kinachokwenda kunibana, Dr Slaa anaingia mahakamani ananiamba mwanangu unakwenda mahakamani lakini hukumu yako itakua hivi, ile kesi hukumu ilivuja kwa hiyo maana yake ilikua ni mpango, ni kitu kimepangwa"

  "Kilichoniumiza sio mimi kutokua mbunge, ninaweza kuishi nje ya Ubunge ninaweza kuuza mitumba, ninaweza kuwa dereva wa daladala, ninaweza kucheza soka.. ubunge kwangu sio ajira naweza kuishi maisha mazuri kuliko kuwa mbunge, nimekua mfanyabiashara siku za nyuma sijakwenda Ulaya nikiwa mbunge, nimekwenda ulaya kabla sijawa mbunge nimekwenda karibu nchi 16 na nimefanya biashara lakini nilipopata ubunge nikasema nimepata nafasi ya kutumikia watu"

  Souce:
  By Millard Ayo with GodBless Lema kwenye exclusive interview!
   
 2. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #2
  Sep 28, 2012
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kweli JAMAA Mjeshi!!!
   
 3. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #3
  Sep 28, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Tutasikia mengi .......................................!!!:nono:
   
 4. d

  dizo Member

  #4
  Sep 28, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dah! Mchizi ana speach kama za bob marle.
   
 5. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #5
  Sep 28, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Saluti broda lema
   
 6. u

  ureni JF-Expert Member

  #6
  Sep 28, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,272
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Kwa sasa hivi hali ilivyo mbaya tz inahitaji watu kama hawa.
   
 7. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #7
  Sep 28, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Godbless Lema wewe ni mdogo kwangu kiumri ila naomba pokea heshima "Shikamoo Mbunge wa Arusha Mjini". Hata kama watafanya fitina hii rufaa but umeacha legacy na usiwe na hofu utagombea tena miaka ijayo. Kiti chako atakushikia mwanachadema mwingine kwa muda. Wewe ni mpiganaji, hata mapato yako kibiashara najua yalikuwa makubwa kuliko ya ubunge but ukaamua kuwatumikia wananchi na kwa muda mfupi kazi yako tuliiona.
   
 8. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #8
  Sep 28, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Waaganao hawatafutani,,,,,,,,lema na kikwete wanajuana na waliagana na ndo maana wanatajana bila kutafutana
  mtoa hoja rejea na nukuu ya Lema kuitwa na kikwete agombee kupitia ccm
   
 9. k

  kitero JF-Expert Member

  #9
  Sep 28, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 563
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huyu ni mwana falsafa.kazungumza maneno mazuri sana na yenye busara na hekima.Tumemiss sana jembe letu.ILa nimeipenda hii wakirudia uchaguzi atapata kura nyingi kuliko mbunge yoyote Africa mashariki aaaaahhh safi sana.
   
 10. amkawewe

  amkawewe JF-Expert Member

  #10
  Sep 28, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 2,029
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Duh kama na uchungu kiasi hicho jamaa noma. Dini nyingi zilifanikiwa kwa kuwa na wafia dini. Kama TZ itapata wafia haki tutakuwa mbali.
   
 11. A

  Amani kwa wote Member

  #11
  Sep 28, 2012
  Joined: Sep 22, 2012
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  lema hana akili timamu
   
 12. Root

  Root JF-Expert Member

  #12
  Sep 28, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,238
  Likes Received: 12,949
  Trophy Points: 280
  dah nimeipenda hii
   
 13. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #13
  Sep 28, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Kweli wewe ni idiot.
   
 14. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #14
  Sep 28, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Member kama wewe ni hasara humu jamvini!
   
 15. Butho Mtenzi

  Butho Mtenzi JF-Expert Member

  #15
  Sep 28, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 328
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  God be with Lema! Only God Can Judge
   
 16. m

  mkupuo JF-Expert Member

  #16
  Sep 28, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Huu ni ushahidi tosha kuwa wewe ni GAMBA.Na badala ya gamba kukukaa mwilini tu naona limeuzunguka hata ubongo wako kiasi kwamba umekufanya uwe kilaza wa ukweli.
   
 17. m

  mkupuo JF-Expert Member

  #17
  Sep 28, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Huu ni ushahidi tosha kuwa wewe ni GAMBA.Na badala ya gamba kukukaa mwilini tu naona limeuzunguka hata ubongo wako kiasi kwamba umekufanya uwe kilaza wa ukweli.
   
 18. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #18
  Sep 28, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  kamanda mpaka sasa kashapika makamanda wengi sana hata Mungu akimchukua hakikaka atakumbukwa kwa misimamo yake..
   
 19. m

  mathew2 JF-Expert Member

  #19
  Sep 28, 2012
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 467
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 60
  Wewe ni Dr toka Mirembe?? Vinginevyo yawezekana wewe ndo hazikutoshi
   
 20. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #20
  Sep 28, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,360
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  NINA NENO MOJA TU HAPA; NINAYO BAHATI SANA KUWA LEMA NI MBUNGE WANGU. Nadhani watanzania majimbo yote ya uchaguzi wangependa kupata mbunge kama huyu ila basi tu MUNGU kanipendelea. CHADEMA HAPA NI DINI NA YENYE WAFUASI WENG SIYO CHAMA CHA SIASA TENA.
   
Loading...