Wakuu toka wauza vocha kulalamika kuwa vocha ya mia tano haina faida na kutishia kutozhjumua na kuziuza kwa mtumiaji wa mwisho voda wamekaa chini na kuwazua kuja na vocha za shiling mia nne...
Habari zenu wanajf
naitaji mfadhili wa kuandaa kitabu changu kwani kuna mambo kadhaa sijamaliza nami naona peke yangu sitaweza hivyo waungwana naomba mnitafutie mfadhili wa kunifadhili shughuli...
Katika hali isiyo ya kawaida mchambuzi mashuhuri wa siasa bwana RENATUS MKINGA amekuja kwenye kipindi cha marumbano ya hoja kinachoendeshwa na kituo cha TV cha ITV akiwa amevalia nguo ya CCM...
Ni utafiti wangu binafsi.Hapa ni sehemu ya kwanza kuuwakilisha.Ni hivi:ujumbe mfupi wa maneno wa simu za viganjani almaarufu kama 'sms' kwa kiasi kikubwa unachangia kudumaza elimu Tanzania. Hii ni...
Katika kile kinachoonekana kama uzembe wa wahusika, mshahara wa Watumishi wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi almaarufu kama CMA wameingiziwa mishahara yao mara mbilimbili.
Ni neema kwao lakini ni...
1) Inanisaidia kuficha maovu yangu na inanifanya kuwa juu ya sheria (Dr. K, Mwigulu)
2) Pindi nikifikishwa mahakamani, naitumia kupata dhamana then kushinda kesi (mwakalebela)
3) Rafiki yangu...
Standi ya mabasi ya Mikoani imehamishiwa nje ya Mji Kilometa 8 kabla hujaingia Mjini tokea Morogoro eneo la Nzuguni NaneNane yalipokuwa Maonesho ya Kilimo ya Kitaifa kanda ya Kati
Uwanja huu upo...
Hadija Jumanne na Deborah Ngajilo
WAZIRI wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe amesema wananchi wampe muda wa miezi sita ili aweze kukamilisha miundo mbinu katika sekta ya reli nchini.
Dk...
Rais wa Uruguay Jose Mujica (77) ametajwa kuwa kiongozi maskini duniani. Rais huyo ambaye ni maarufu zaidi kwa jina la utani la "el presidente mas pobre" maana yake Rais maskini alichaguliwa machi...
Waziri mkuu mstaafu Mh Frederick Sumaye yupo kwenye majadiliano na viongozi wa chadema kwa ajili ya kujiunga na chadema. Source Gazeti la Mwananchi la leo
Mtafaruku umezuka Wilaya ya Bagamoyo baada ya watu wanaodhaniwa kuwa waumini wa dini ya Kiislamu wa msikiti wa Majani Mapana kuvamia makaburi ya kiislamu ya Tandika Kata ya Magomeni kwa lengo la...
WanaJF naombeni msaada wenu.Rafiki yangu ameibiwa vitu mbalimbali jana usiku nyumbani kwake maeneo ya Kurasini hapa Dar.Katika vilivyoibwa kuna nyaraka muhimu kama birth certificates (yake na za...
Mkurugenzi Mkuu wa Tanesco, Mhandisi William Mhando
Takribani miezi miwili na ushei tangu Bodi ya Shirika la Umeme nchini (Tanesco) kuwasimamisha kazi viongozi wakuu wa shirika hilo akiwamo...
Wakuu kuna harufu mbaya Sana katika Barabara ya Morocco kwenda Posta zaidi maeneo ya DSTV kwa mbele,UPanga, mpaka Surrender Bridge pale!. Kutokana na harufu ile hata sipendi hata kupita ile...
Hili ni ghorofa linalokamilika kwa spidi la Mh. Bernald Membe pale jirani na VETA Mtwara ambapo pia alitaka kukitwaa kiwanja cha VETA ili apate parking. Hapa anajenga hoteli na sitaki niseme ni...
ni juzi juzi tuu toka tulipo msikia waziri Mwakyembe na mipango ya kuzuia kuchimba dawa barabarani.... Nimebahatika leo kupita na kuingia kwenye public toilet ya mizani ya msata na kusikitishwa na...