hivi huu mtandao wa tigo umekuwaje mbona wanafanya uhuni wa kutuibia waziwazi! Jana nimeongeza salio la 5000,nikaongea dk 3,simu inakata eti salio halitoshi!kuangalia nakuta imebaki sh.2!leo...
Mara nyingi tumeshuhudia NEMC wakijipambanua kwa kufungia vikampuni vidogo ati kwa kuharibu mazingira lakini makampuni makubwa kama BARRICK, GGM,Tanzanite One, etc yakiachwa kuchafua mazingira...
I sent you this email about two weeks ago and i got no response, so i am constrained to contact you again via the internet which has been severely abused by fraudsters over the years. I worked...
Kuelekea sensa, hawakuweka burner kwenye screen wakati wa taarifa ya habari, kuonyesha countdown. Ila sasa wamefanikiwa kuweka ya dume condoms.
Hii nchi inawaza ngono sana. No wonder afande nae...
Tangu juma lililopita,mtandao wenu haukubali kufanya kazi ipasayo. Kazi ya kusajili wakata rufaa waliokosa mikopo kwa mara ya kwanza. Sasa hawa wanafunzi 'wataapilije'? Acheni upuuzi wenu...muwe...
Wadau, nchi hii imeoza kabisa. Najiandaa kuandika kitabu chenye picha za upokeaji rushwa unaofanywa na trafiki katika Stendi ya Mabasi Kibaha Maili Moja. Trafiki wanapokea rushwa nje nje kila siku...
Kauli za viongozi wa Tanzania na vitendo vya jeshi letu la polisi na wanajeshi wake ni kumbukumbu ya matokeo yaliyowahi kutokea katika Nchi ya sierra leone...
Tatizo sio Imani zetu, tatizo sio utamaduni wetu, LAKINI Tatizo ni mazoea tuliyoyajenga, tatizo ni mzoea tuliyoyaaendekeza kwa muda mrefu, mazoea ya kusema uongo, Mazoea ya KUDANGANYA. Karibu...
WATANZANIA wametakiwa kujitokeza na kushiriki katika Kongamano la kitaifa linalotarajiwa kufanyika Novemba mwaka huu, ili kujadili mustakabari wa rasilimali zilizopo nchini.Akizungumza na...
A New Orleans attorney was cited for marijuana possession this week after a joint tumbled out of his pocket in front of police, according to media reports.
Police say Jason Cantrell, who has a...
Salam wanaJF,
Katika pitapita zangu katika viunga vya TANROADS mkoa wa Pwani nimekutana na sakata hili, nami nikaona niwashirikishe ili kwa pamoja tuone kama kuna jambo tunaweza kuishauri...
Hivi karibuni, Serikali ililifungia gazeti la Mwanahalisi kwa madai ya 'kuhatarisha' usalama wa Taifa. Uamuzi huo wa Serikali kuwafungia Mwanahalisi wawezakuwa na maana kwa maana halisi ya...
Kutokana na simu feki kukoma kutumika nchini kenya,kupelekea wafanya biashara waliokua na mizigo mikubwa ya simu feki sasa wameanza kuja kuziuza nchini TZ. sasa bongo imegeuka dampo ingawa tuna...
Je kuna sheria inayozuia wasikilizaji wa kesi mahakamani hata kama kesi ile inazungumziwa katika chamber court.
Kuhusiana na yaliyotokea leo katika mahakama ya kisutu, je ni halali kuzuia...
Nafikiri hii ni hali iliyo katika sehemu nyingi za miji ya Tanzania. Maji tunayotumia sehemu za mijini hatujui yanakopatikana na kwa neema ya Mungu tunaendelea tu kuishi.
Katika hali ya kawaida...