BODI ya MIKOPO kuweni 'serious'...

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Tangu juma lililopita,mtandao wenu haukubali kufanya kazi ipasayo. Kazi ya kusajili wakata rufaa waliokosa mikopo kwa mara ya kwanza. Sasa hawa wanafunzi 'wataapilije'? Acheni upuuzi wenu...muwe serious na mambo yenu...
 
Back
Top Bottom