Hii zambi ya udini ilipandikizwa na watawala wakati wa kampeni its time to wipemit out kama kweli twataka muenzi mwalimu after his death 13 years ago
Wakristo kuna wakati watachoka, maana...
miaka kadhaa ijayo, watoto wengi watakuwa legelege kwa sababu watakuwa wanacheza zaidi na kompyuta(games, facebook, etc) kuliko kucheza kombolela, mpira, kukimbizana n.k. Hii itafanya kuwa na...
HII NIMEITOA FACEBOOK JAMANI, nikaona nanyi msome, mie nimeupenda sana
huu utenzi!!!!..........................
Uko wapi baba, mwanao mimi nakutafuta/
Ni miaka imepita enzi za baiskeli mpaka sasa...
Yaliyotokea Ijumaa yamenifanya nifikiri sana, nimewaza uharibifu na wizi uliotokea katika zile nyumba tatu za Ibada, sijui watafanyaje kufidia ile hasara, kama ni mahakamani sijui nani atashtakiwa...
Inbreeding-Kuzaana kupitia uzao ulio na ukaribu wa damu umeelezwa kusababisha vifo vya utotoni, kupata uzao wenye kinga kidogo ya magonjwa.Ulemavu wa akili na mwili na mengineyo.Yote haya...
Ninahitaji marine boards na milunda kwa ajili ya ujenzi, ninafahamu hivi vitu huwa vinatumika mara moja.
ninajaribu kupunguza gharama za ujenzi kwa hiyo natafuta milunda na marine board...
MKUTANO Mkuu wa kwanza wa CCM katika Mkoa wa Geita janaumemchagua Mwenyekiti wake wa kwanza wa CCM ambaye atakiongoza chama hichokatika kipindi cha miaka mitano ijayo ambapo Joseph Msukuma alipata...
Maalim Seif, Shikh Ponda, Shikh Ali Basaleh ni wadau wa TV Imani ndio maana inatukana serikali na ukristo lakini haifungwi angalia hapa:
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif...
HALI siyo shwari ndani ya Jeshi la Polisi nchini baada ya askari wake zaidi ya
12,194 kukosa mishahara kutokana na
mabadiliko ya mfumo wa malipo
kwenye mtandao wa kompyuta, uliobadilishwa na...
Wakuu,nilikuwa sijawahi kuangalia kipindi cha mboni show tangu kianzishwe,leo nilikutana na mada kwenye JF inasema ni kipindi ch KI freemson,honestly sikuisoma hiyo post,lakini muda sio mrefu...
Wana JF kwanza habari za wekend,kuna jambo moja kuhusu saa linanipa shida kidogo kulifahamu:
Nimejikuta nafuta tu mambo haya pasina ufahamu wa kina :-kwanza kurekebisha saa yangu kwa kizungu...
Kila sehemu anayotaka kupaki hapa arusha unakuta kibao reseved park sasa sisi wengine tupaki wapi?unakuta mtu mmoja kachukua parking hadi nane peke yake eti kwa ajili yake na wateja wake.alafu...
Wanabodi ,
Hii nimeitoa kwenye mtandao unaoitwa wiki.answers.com.Lengo si kuleta takwimu za kijeshi zilizotolewa kule bali madai juu ya Baba wa Taifa Mwl Julius K.Nyerere kuwasaidia akina Kabila...
In our house in Nsukka, the small university town in eastern Nigeria where I grew up, my parents bedroom harboured a cupboard, reached only by standing on a stepladder. In that cupboard lay a...
Nimekwenda ku-draw pesa kidogo ya week end katika ATM ya NMB, cha ajabu nimefuata procedure zote na ikaanza kuhesabu lakini ilipofika mwisho ikatoa kadi yangu bila kutoa pesa. Hapo hapo nikapata...
I dot not wish to dispise some other peoples business but surelly my DAR Epress is no more. Yesterday I bordeded it but to my disappointed I and my fellow passengers arrived at Kimara Mwisho at...
hivi huu mtandao wa tigo umekuwaje mbona wanafanya uhuni wa kutuibia waziwazi! Jana nimeongeza salio la 5000,nikaongea dk 3,simu inakata eti salio halitoshi!kuangalia nakuta imebaki sh.2!leo...