Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Leo asubuhi hii nimesikia waziri fulani akisema wanataka takwimu za watanzania waishio nje ya nchi ili waweze kukusanya mapato yao na kupigia upatu kwenye katiba uraia wa nchi mbili...wazo hili...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
  • Closed
Wakuu,Poleni na mishemishe za kutafta Mkate wa kila siku.Naomba kuelimishwa,Kabila gani TZ,linajitahidi kuongea lugha ya Taifa kwa ufasaha kidogo na Lugha gani ilitaka ifanywe lugha ya Taifa.(Si...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wapendwa wa nachadema ninaomba ikiwezekana tuwaombe viongozi wetu wa cdm wajipange kuanzisha kituo cha television.kituo chenyewe kitatumika kujitangaza sababu tv ya taifa inabagua,, nawakilisha je...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tanzaniatokea uhuru haijawahi kushuhudia uvunjifu mkubwa wa amani na uchochezi wa marakwa mara kama awamu hii ya Rais JakayaKikwete. tunakiri hili kwani kwa umri wa baadhi yetu, marais wote wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau kipindi cha kuelezea kifo cha mwandishi wa channel ten kinatarajiwa kuonyeshwa mlimani tv j3 kuanzia saa 2.30 usiku usikose,naomba kuwasilisha.
2 Reactions
30 Replies
9K Views
Katika historia ya Tanzania na Africa Mashariki tunakumbuka Ukristo uliingia kabla ya ukoloni enzi za akina Vasco Da Gama mfanya biashara kutoka ureno aliefika Tanganyika na Kenya. Huyu jamaa na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Oktoba 12 mwaka huu, matukio mabaya na yenye kutia doa sifa ya amani umoja na Utengemano wa Taifa la Tanzania, yalijitokeza huko Mbagala Jijini Dar es Salaam, wakati watu wenye jazba wanaoaminika...
12 Reactions
98 Replies
18K Views
Nimefuatilia kwa muda mrefu hawa jamaa wa Nabaki Afrika na kugundua kuwa wanatumia ujanja ujanja katika biashara zao. Pale GAME Mlimani city kwenye shelf la vifaa vya kuogelea, hasa madawa...
1 Reactions
46 Replies
8K Views
Hakika kuna kila sababu ya kukipongeza kituo cha televisheni cha Star Tv kwa ubunifu wao wa kufikisha ujumbe husika kwa kutumia katuni ya wanamuziki. Kwanza walianza na “Baba nipe pesa watoto...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Katika maongezi yangu na watu na usomaji wangu juu ya kifo cha RPC Mwanza, nimeshituka kugundua kwamba Watanzania wengi hatuguswi sana na kifo cha huyu RPC, na wengine hata kudai ingekuwa ni RPC...
0 Reactions
46 Replies
8K Views
Habari wanajf. Kumekuwa na utamaduni wa kupiga muziki mkubwa kwenye misiba sehemu nyingi mijini na vijijini, ikitokea msiba wafiwa wanataka muziki ukodishwe ili wakeshe. Je huu utamaduni niwetu na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mansa Musa I, the richest person in history, had a personal net worth of $400billion at the time of his death in 1331.Born in 1280, he ruled West Africa's Malian Empire which covered modern day...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wana jf mwenye kufahamu . Nimeagiza gari ndogo saloon toyota camry ya mwaka 2003 . Yenye cc 1500 . Na nimeinunua kutoka japani kwa bei ya dola 1500. Na je katika ushuru wanatumia vigezo gani. Na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Does it mean that safety & rule of law, Rule of Law, Accountability, National security, Participation & Human rights, participation, Gender, Public management, Business environment and welfare...
0 Reactions
0 Replies
755 Views
Mum screams for help as blaze kills her and four of her kids Victims ... from left, Hira, Sohaib, mum Sabah, Rayan and Muneeb were killed. Maheen, blurred, is critical By ANTHONY FRANCE, Crime...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Muswada wa fao la kujitoa wawasilishwa Na Mwandishi wetu 16th October 2012 Mbunge wa Ubungo ( Chadema), John Mnyika Mbunge wa Ubungo ( Chadema), John Mnyika, amewasilisha kwa...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Jumatatu iliyopita alivamiwa na kundi la watu na kumpa kipigo kikali na kufariki dunia jana [walitaka mnyanganya vitu so wakabishana ndipo walipompiga mpk kuwa hoi na kulazwa MOI last week na...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Kama kawaida yangu napenda thread zangu zijikite sana katika kutengeneza Tanzania yenye weredi. Katika thread hii naomba tuchangie hili la ajira za hapa nchini. Mara nyingi kumekuwepo na maelezo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ni katika ajali iliyo tokea maeneo ya kinondoni baada ya gari ndogo ya jeshi kugongana uso kwa uso na daladala. Kwa upande wa daladala haijajulikana madhara. Mungu awajalie afya njema wote walio...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
habari za asubuhi wadau, nimepata taarifa kwamba mwili wa aliyekuwa RPC mkoa wa Mwanza ACP Liberatus Barlow utaagwa katika viwanja vya nyamagana. mwenye taarifa kamili atujuze tafadhali!
1 Reactions
65 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…