Kabila gani Tz linajitahidi kuongea Kiswahili kwa Ufasaha? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kabila gani Tz linajitahidi kuongea Kiswahili kwa Ufasaha?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Godwishes, Oct 16, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. G

  Godwishes JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 575
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Wakuu,Poleni na mishemishe za kutafta Mkate wa kila siku.Naomba kuelimishwa,Kabila gani TZ,linajitahidi kuongea lugha ya Taifa kwa ufasaha kidogo na Lugha gani ilitaka ifanywe lugha ya Taifa.(Si chochei Ukabila.Pls niwe quoted)
   
 2. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Kabila la watanzania wa tanganyika.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...