Hivi ni kweli tunahitaji kila msaada? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi ni kweli tunahitaji kila msaada?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ELFU-ONEIR, Oct 17, 2012.

 1. ELFU-ONEIR

  ELFU-ONEIR Senior Member

  #1
  Oct 17, 2012
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 183
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  Miaka kadhaa iliopita tuliletewa msaada wa vyanarua ambavyo baada ya kugawiwa kwa mizengwe mingi ilikuja kuibuka kasoro nyingine kuwa vyandarua vile vingi vilikua vya futi 3 na nusu (3 1/2)
  kiasi ambacho wengine iliwabidi wavitumie kufanya kama inavyo oekana pichani.

  Kama haitoshi mara kwa mara tumesikia viongozi mbalimbali wakisaini mikataba ya kupokea misaaada kutoka nchi mbalimbali.

  Mfano: juzi nilikua na rafiki yangu tukijadili hili na lile akaniambia akuwa kuna taasisi moja nyeti ya serikali imepokea vifaa vya technolojia kutoka nje ya nchi na mbaya zaid taasisi yenyewe inahusika na usalama. Sasa je hii sio kuiacha nchi uchi?

  Kwasababu hata hao waliokuja kuifanyia configuration ni wageni. Sasa unyeti wa taasisi hio ukowap[i? Je kila msaada ulioko mbele yetu tunauhitaji?

  Naomba kuwasilisha
   
Loading...