Matusi haya ya Wamalawi kwa Watanzania yanachukiza....Wanatuita Stupid neighbours!!!eti sisi wajinga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matusi haya ya Wamalawi kwa Watanzania yanachukiza....Wanatuita Stupid neighbours!!!eti sisi wajinga

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ta Muganyizi, Oct 15, 2012.

 1. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #1
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Mie nadhani Wamalawi wanazidi kujisahahu na kuendelea mbele zaidi na kuanza kutuporomoshea matusi eti sisi wajinga....Kikwete mpumbavu.....hatujui kiingereza hivyo tutashindwa kesi ikiwa itaamuliwa na ICJ na mengi yanazidi kutuudhi. Wanatoa comments za Kishabiki na Kujidanganya kuwa eti kwa vile JK aliruhusu meli za Iran kujifanya za Tanzania...tukiingia vitani UK na US watawasaidia Malawi ili sisi tupigwe hebu oneni baadhi ya Mawazo ya Wamalawi. Pamoja na kupoteza wanajeshi wetu kule kwao bado tunaitwa Stupid neighbours.

  [TABLE]
  [TR]
  [TD]
  10
  [/TD]
  [TD="align: left"] Mwachipoka Says:[/TD]
  [TD="width: 30%"] October 14th, 2012 at 1:36 pm[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  [TABLE]
  [TR]
  [TD] [​IMG][/TD]
  [TD] There is no point of discussing this issue with Tanzania, Lake Malawi will never be divided, 2014 Atupele akutenga boma and we will fight you foolish Kikwete and your friends.
  Like [​IMG] 0 [​IMG] 0
  Reply[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [TABLE]
  [TR]
  [TD]
  9
  [/TD]
  [TD="align: left"] chonziwa Says:[/TD]
  [TD="width: 30%"] October 14th, 2012 at 8:34 am[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  [TABLE]
  [TR]
  [TD] [​IMG][/TD]
  [TD] Weather they like TZ has to recognise the internation rule as they are party of internation. If they want war for this issue they will be the ones to suffer because Malawi will get help and they will be alone in the battle. so TZ think wise. You are already being called greedy people. I did not know that hey are so stupid. they have been supported by scandivians countriessince indepedence but never developed as people. they are low in education of english. They still low becuse they studied english at the high level. Germany they never learnt at all. Swahili is what they know. Why do we Malawians need such stupid neighbours. they are frustrating us. They have problems in TZ. The president is not popular and he want to get elected by raising issues which can help him a vote. Many Wise TZ know about this. I have TZ friends who even ask why her nation taking up this issue which is clear.

  Like [​IMG] 0 [​IMG] 1
  Reply[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]


  [TABLE]
  [TR]
  [TD]
  1
  [/TD]
  [TD="align: left"] M'malawi mwenecho Says:[/TD]
  [TD="width: 30%"] October 13th, 2012 at 12:55 pm[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  [TABLE]
  [TR]
  [TD] [​IMG][/TD]
  [TD] Am begging the cocerned Authorities to provide all police stations boardering malawi, with new Automatic weapons. Its sad that officers are there and yet without weapons and u expect them to protect u, HOW?, Unless u ‘ re mad. People came from TZ, Claiming that they were from TZ fisheries department. But wat suprised me; they had amarine boat that had two mashine guns. Our poor malawian fishermen: couldnt resist but to surrender their valuable nets. Vithu ivi vakachitika ku chakwera vge, kaporo area. Not ku songwe. Chifukwa mphaka ya nyanja na songwe river, ili mu karongolera vge, thats kaporo Area. Pliz take note. Dis issue z still paining me, coz to my understanding, thats totally provocation. In short; supply boarder police officers with gud Automatic refles, coz issues can only be known through police. Pipo go to police to report issues, how do u expect an action from dem if
  they are not fully equiped. Pliz, pliz, Tapela mweee.

  Well-loved. Like [​IMG] 15 [​IMG] 3
  Reply[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 2. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #2
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Jamani hebu angalieni comment ya pili anayesema sisi hatujui English....yeye alivyo bwabwaja....nimenjibu hukohuko malawi ni wa ajabu sana
   
 3. papason

  papason JF-Expert Member

  #3
  Oct 15, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 2,317
  Likes Received: 634
  Trophy Points: 280
  Kwa kiasi fulan wako sawa!
  Tumekalia longolongo tukiangalia ziwa linakwenda kimchezo mchezo wakati uwezo, nguvu na sababu za kuwatandika vyote tunavyo!
  Wee unafikiri wakati wa utawala wa Nyerere au hata Mkapa tuu wangethubutu kujigamba gamba hivyo? si tungewatwanga vilivyo!
   
 4. Tetty

  Tetty JF-Expert Member

  #4
  Oct 15, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 25,601
  Likes Received: 16,558
  Trophy Points: 280
  Ukitaka kumuudhi mtu mwenye matusi mengi,msikilize halafu usimjibu.Unasepa taratibu atachukia mara mia.Wamemfukuza Balozi wa Tanzania nchini Malawi lakini wa kwao bado yupo,sasa nani stupid wao (Wamalawi)au sisi(Watanzania). Wakimaliza watanyamaza!
   
 5. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #5
  Oct 15, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Kwa hiyo na wewe unashadadia kumtukana rais?
   
 6. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #6
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
 7. K

  Kahamba Member

  #7
  Oct 15, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi siwezi kuwalaumu. Inategemeana na jinsi wanavyotuona. Kumbuka, Joyce Banda alitamka mbele ya Kikwete kwamba ziwa Nyasa ni la Malawi kwa 100%. Kikwete hakusema kitu, akanyamaza tu. Eti Oh, wanadiplomasia wetu watalimaliza tu. Kama rais wa nchi anashindwa kuongea chochote juu ya umiliki wa TZ kwa ziwa Nyasa akwa uso kwa uso na rais mwenzie na bado tunalalamika eti ziwa si la Malawi tunategemea watueleweje?
   
 8. mpalu

  mpalu JF-Expert Member

  #8
  Oct 15, 2012
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 2,492
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  hatui english ...sawa hatujui ...then what....subiri kinuke tuone  kama english itawasaidia au.....afu kumbe wanajitutumua kwa sababu wana uhakika wa backup ...HAWAJIAMINI KABISA
   
 9. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #9
  Oct 15, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,696
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Huyo jamaa ni mjinga sana, you are talking about fighting and crying for help at the same time... Wajinga hawa kama wao ni wanaume kweli si wapigane wenyewe..
   
 10. Jimjuls

  Jimjuls JF-Expert Member

  #10
  Oct 15, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 461
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  hao wamalawi wandhani kwamba kutoa lugha za kejeli ndo dili sana.Je tukianza kuwakimbiza hawa wanfunzi wao waliopo kwenye vyuo vetu itakuwaje?Mi naona tuende kwa utaratibu tu na tungojee hatima ya ICJ...
   
 11. Ufunuo

  Ufunuo JF-Expert Member

  #11
  Oct 15, 2012
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Si umajua presidaa wetu anapenda totoz? Sasa ulitegemea aseme nn wakati anajua cku yoyote wanaweza wakakutana kwenye mkutano akaomba gem? Hata akiwapa hilo ziwa acha awape tu ilimradi Joy ampe mzigo tu.
   
 12. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #12
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 19,463
  Likes Received: 10,672
  Trophy Points: 280
  lnaelekea ile show ya kagera imeanza kuchuja sasa tunahitaji show mpya ya nyasa.
   
 13. M

  MKUU WA KAYA JF-Expert Member

  #13
  Oct 15, 2012
  Joined: Apr 18, 2012
  Messages: 201
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wanajua kiongozi wetu mkuu ni dhaifu...
   
 14. Makanyaga

  Makanyaga JF-Expert Member

  #14
  Oct 15, 2012
  Joined: Sep 28, 2007
  Messages: 2,503
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  Kama wanachosema ni kweli basi hapo haina tatizo, ila kama si ukweli kuna tatizo. Unajali nini wewe akija mtu akasema wewe ni binadamu wakati kweli wewe ni binadamu? Vipi akikuita nyani wakati we binadamu? Kama wamesema kuwa hatujui na ukweli ni kuwa kweli hatujui, hakuna shida, ila kama wamesema hatujui wakati tunajua, hapo pana mgogoro upande wa msemaji,..., kichwani atakuwa hajatulia,... na mara nyingi matusi yasiyo sababu huwa yanaambatana na woga pamoja na inferiority complex!
   
 15. M

  MKALIKENYA JF-Expert Member

  #15
  Oct 15, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,198
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 133
  Vyuo vipi kuna wamalawi hao hawana ata qualifications za kusoma vyuo vyetu nimesoma UDSM pale kuna wakenya na waganda hao wa malawi ni walinzi waaminifu wa mageti yetu.
   
 16. JIULIZE KWANZA

  JIULIZE KWANZA JF-Expert Member

  #16
  Oct 15, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 2,573
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sasa uyu nae anajua kingereza au na Mimi Sijui??


  By Ta Muganyizi
  Weather they like TZ has to recognise the internation rule as they are party of internation. If they want war for this issue they will be the ones to suffer because Malawi will get help and they will be alone in the battle. so TZ think wise. You are already being called greedy people. I did not know that hey are so stupid. they have been supported by scandivians countriessince indepedence but never developed as people. they are low in education of english. They still low becuse they studied english at the high level. Germany they never learnt at all. Swahili is what they know. Why do we Malawians need such stupid neighbours. they are frustrating us. They have problems in TZ. The president is not popular and he want to get elected by raising issues which can help him a vote. Many Wise TZ know about this. I have TZ friends who even ask why her nation taking up this issue which is clear
   
 17. Danny Massawe

  Danny Massawe JF-Expert Member

  #17
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 15, 2012
  Messages: 908
  Likes Received: 259
  Trophy Points: 80
  Hawa niwakupuuzwa ni watu wenye uelewa mdogo.
   
 18. LINCOLINMTZA

  LINCOLINMTZA JF-Expert Member

  #18
  Oct 15, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Acha kuhangaika na nchi ya Gays na Lesbians. Wao wanafikiria kukameruniwa tu na waingereza na wamarekani ndo maana wanawategemea sana kwenye hii vita. Kwa kuwakumbusha tu, mwigereza ndo alikuwa mvamizi wa nchi yetu na tulimng'oa, hata sasa akija tutapigana naye kwa nguvu, mali na akili zetu. Wao waendelea na homosexuality yao huko. Gays na Lesbians wanaakili za namna hiyo.
  Malawians should ask themselves that do the UK and the USA like them because of being Malawians or for business affair? Just to remind them that the UK and the USA will not involve in an unprofitable deal including the battle which they expect to be favoured if it does not pay back. These countries have only permanent interests and not permanent friends. Currently, Malawi might be a temporal friend just for use and abuse. If they want to prove this, let them push for a battle,they will see.
  Tanzania is an independent country which will fight not only against Malawi but also even the UK and the USA to protect its borders no matter how the invaders are strong or weak.
   
 19. M

  Mtoto wa tembo Senior Member

  #19
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 4, 2012
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Vipi wale jamaa wa mbagala mbona siwaoni kwenye hii issue ya kutukanwa.???au ubabe wao ni kuchoma makanisa tu.watiririke basi tuwaone au lugha gongana.?????ahaaaaaa ,kweli mjinga usimjibu muangalie alafu endelea na mambo yako.wakati yeye analumbana wewe chapa kazi mpaka aje kustuka wewe upo chalinze unarudi.
   
 20. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #20
  Oct 15, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Kama kiingereza cha huyu kilaza ndo hiki, bora tusikijue kabisa. Yaani kuisoma hii paragragh hadi uimalize ni kama kutafuna wali wenye mchanga!!!!
   
Loading...