Watu wanaswa na komputa na meza zilizoporwa kanisa la Mbagala | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watu wanaswa na komputa na meza zilizoporwa kanisa la Mbagala

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Saint Ivuga, Oct 16, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,340
  Likes Received: 19,522
  Trophy Points: 280
  wanaswa na na kompyuta, meza za kanisa
  Mbagala.
  Tuesday, 16 October 2012 08:32 Pamela Chilongola
  WATU wanne zaidi wamekamatwa na polisi
  wakiwa na kompyuta na meza zilizoporwa katika
  Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),
  Usharika wa Mbagala, Dar es Salaam.Kukamatwa
  kwa watu hao kunafanya idadi ya waliokamatwa kutokana na vurugu zilizotokea Ijumaa wiki
  iliyopita kufikia 126. Vurugu hizo zilisababishwa na watu wanaodaiwa
  kuwa waumini wa dini ya Kiislamu kuvamia Kituo
  cha Polisi Maturubai wakitaka wapewe mtoto
  aliyedaiwa kudhalilisha kitabu kitakatifu cha Quran
  kwa kukojolea.
  Source: Mwananchi.
  My take: kutokana na umbumbu na shule ndogo na akili za panzi walishindwa kuzitumia zile laptop kwa sababu zilikuwa na Password.
   
 2. m

  mikogo Senior Member

  #2
  Oct 16, 2012
  Joined: Jul 24, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  wamenaswa wezi wa komputa sio waislam
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,340
  Likes Received: 19,522
  Trophy Points: 280
  “Tulikuwa katika mkutano wa kuwaandalia kila
  mmoja hati yake ya mashtaka na wakati wowote
  kuanzia kesho (leo) tutawafikisha mahakamani
  kujibu mashtaka yao,” alisema Kamanda Misime.
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Oct 16, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,340
  Likes Received: 19,522
  Trophy Points: 280
  Hizo computer ziliibiwa baada ya waislam wenye msimamo mkali(feki) kuvamia kanisa na kulivunja na kuiba vitu mbali mbali.. Ila watanyea debe hawa hata kama Rais ni alhaji mwenzao.. Sheria na kanuni haziwezi kupindishwa
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  Oct 16, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,340
  Likes Received: 19,522
  Trophy Points: 280
  Tia jela hawa ama wanyongwe kabisa
   
 6. h

  hippocratessocrates JF-Expert Member

  #6
  Oct 16, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 3,612
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Not that i judge them, but until further notice hao walioiba wataitwa/kihisiwa ni waislamu kutokana na mazingira ya tukio la vurugu.
   
 7. peri

  peri JF-Expert Member

  #7
  Oct 16, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  hapo paliko andikwa waislam ni wapi au ndo muendelezo wa chuki zenu?

  Hakika we kafiri una matatizo, gazeti lenyewe halijaandika hivyo ndomana umeleta habari nusu ili kuficha ukweli.

  Acha kupoteza muda kujaribu kuupaka matope uislam.
  Mnatukejeli tupandishe hasira, tukijibu mapigo mnaanza kulialia.
   
 8. echuma

  echuma JF-Expert Member

  #8
  Oct 16, 2012
  Joined: May 20, 2010
  Messages: 326
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Dah kweli Mungu yupo watu wanaibiwa vitu nyumba nzima na huvipati mwaka ila meza ya kupiga msasa na kompyuta ya kuformat vimeshindikana hadi wanakamatwa dah kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni

  Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
   
 9. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #9
  Oct 16, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Hivi zile vurugu za Mbagala zianzishwa na wezi au waIslam ?.Jibu unalo mwenyewe kama ukefikia hatua ya kuwaruka wenzako kwakuwa wapo katika matatizo tukuiteje wewe au umesahau kauli ya Sheikh Ponda kupitia Radio Imani.

   
 10. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #10
  Oct 16, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Waliiba halafu hawana sehemu ya kuweka, wala hawajui matumizi yake, walidhani tv screens! Shame! Tupa kuleeeeeeeeeeee!
   
 11. Tausi Mzalendo

  Tausi Mzalendo JF-Expert Member

  #11
  Oct 16, 2012
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 1,471
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Walikua wanazitamani siku nyingi
   
 12. U

  Uswe JF-Expert Member

  #12
  Oct 16, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135

  ''Akizungumzia tukio hilo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke Kamishina Msaidizi wa Polisi(ACP) David Misime aliwataja watuhumiwa hao ni kambi Hajidi, Hamadi Salehe, Shabani Hamisi na Majebele''

  Angalia hayo majina afu uniambie kama niwakristo :)

  Source: Taarifa ya Polisi

  Nakala kwa mikogo Saint Ivuga peri cacico Ciello
   
 13. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #13
  Oct 16, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  kwani waliokuwa wanaandamana na kuvunja vitu ni wapagani?? jibu unalo na rula unayo, pigia mstari sasa! ni MOSLEMS! period!
   
 14. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #14
  Oct 16, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  hahahahahahahahhh !!@cacico walikuwa hawajui matumiz yake?kwahiyo huwa hawaendi computer kozi?
   
 15. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #15
  Oct 16, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,075
  Likes Received: 1,811
  Trophy Points: 280
  ni wahalifu sio waislam.. mbona mi sijakamatwa
   
 16. h

  hippocratessocrates JF-Expert Member

  #16
  Oct 16, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 3,612
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Hahaha...mkuu, watakushambulia sasa hivi hawa si umeona mkuu peri ameshapandwa na hasira?
   
 17. a

  adobe JF-Expert Member

  #17
  Oct 16, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 1,666
  Likes Received: 290
  Trophy Points: 180
  niliwah sema vurugu zile ni zaidi ya dini.hawa watu njaa ndizo zinawafanya wajidai wanaandamana ili waibe.kumbuka kuwa hawataki kufanyakazi zaidi ya kucheza bao
   
 18. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #18
  Oct 16, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  peri Kwani waendesha fujo si ni waislamu? Mnajijua sana kwamba dini yenu ni ya chuki, visasi na giliba dhidi ya dini nyingine na wanadamu wengine. Sasa unang'aka nini ukiambiwa nyie ndo mliyeiba meza za kanisa na computer wakati kwenye redio imani na gazeti la Al Nuur mnapongeza vitendo vya kihuni vilivyofanywa na waislamu huko mbagala?

  Wewe kubali tu kwamba haya yaliyotokea Mbagala, Songea, Zanzibar na kwingineko nchini yanawakilisha mafundisho ya uislamu na tabia za mtume Mohamad ambaye mnafuata mafundisho yake. Na kwa msingi huu definition halisi ya usilamu ni visasi, chuki na magomvi. Ndiyo maana kwenye nchi za kiarabu watu hawaishi kuuana. Uislamu umewafundisha hivyo. Na unaposema mwandishi anachochea hasira zenu unadhihirisha uhalisia wa tabia za Kiislamu. Maana kwa wakristo tunaamini hasiri hukaa vifuani mwa watu wapumbafu.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. k

  kamkoda JF-Expert Member

  #19
  Oct 16, 2012
  Joined: Sep 20, 2012
  Messages: 396
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Yesu alisema tusamehe saba mara sabini, ukristo hautaisha mpaka siku ya mwisho, wanaojidanganya kuudhoofisha ukristo wanapoteza muda wao, wajifunze kwa wale waliokuwa wanajilipua wako wapi na wamekwenda wapi na kiko wapi!!!
  YESU NI YEYE YULE JANA LEO NA HATA MILELE AMIN!
   
 20. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #20
  Oct 16, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Duh njiwa kwani wewe unaishi Mbagala ?.


   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...