Diallo VS Mabina panachimbika Kirumba uchaguzi wa CCM Mkoa wa Mwanza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Diallo VS Mabina panachimbika Kirumba uchaguzi wa CCM Mkoa wa Mwanza

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by WABHEJASANA, Oct 16, 2012.

 1. WABHEJASANA

  WABHEJASANA JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2012
  Joined: Jun 22, 2011
  Messages: 4,225
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Wana JF niko ndani ya uwanja wa CCM Kirumba ambapo uchaguzi wa kuwapata viongozi wa ccm mkoa wa Mwanza unaendelea hivi sasa,hata hivyo mchuano mkali ni kati ya Yule Gwiji wa siasa Athony Diallo na aliyekuwa mwenyekiti anayemaliza muda wake wa Mkoa huu Clement Mabina,iwe isiwe mmoja kati ya hawa ndiye atakayekuwa mwenyekiti,nitaendelea kuwajulisha kadri muda utakavyokuwa unaruhusu.Wabheja sana Bhanamahala.
   
 2. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  Mkuu vp dk 90 bado??
   
 3. Kamkuki

  Kamkuki JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 1,067
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 145
  Wezi wawili wamekutana, ............ patamu hapo!! ....................Mkuu vp dk 90 bado?? :A S-omg::A S-rap:
   
 4. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #4
  Oct 16, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,312
  Likes Received: 5,599
  Trophy Points: 280
  Alipata Diallo,ndio mwenyekiti wa ccm mkoa mwanza
   
Loading...