watanzania wanasifa hizi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

watanzania wanasifa hizi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mtaftaukweli1, Oct 16, 2012.

 1. m

  mtaftaukweli1 Member

  #1
  Oct 16, 2012
  Joined: Sep 21, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  watanzania ivi ni kweli wanasifa hizi? ni wavivu, ila wanataka utajiri, hawtaki kujishughulisha, wavivu wa kufikiri hadi wanadanganywa katika mikataba. hawapendi kusoma lakini kufaulu wanataka, mda wa kufanya kazi hawautumii ipasavyo sasa kwa namna hii watakuwa na maisha bora? na uchumi kukua? nisaidieni
   
 2. U

  Ubwaza Member

  #2
  Oct 16, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 61
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  jibu unalo mwenyewe,hebu angalia familia yenu toka baba ako, mama ako,babu yako,bibi ako hadi wanao. Halafu utuambie kwenu mna sifa hizo? Usikimbilie watanzania anza familia yako
   
 3. dada white

  dada white JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 1,233
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Ila kweli Umaskini wetu upo humo kwenye mambo uliyosema ila umesahau kuwasifia kuwa wanapenda KULAUMU Na Kukata tamaa.
   
 4. m

  masagati JF-Expert Member

  #4
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 16, 2012
  Messages: 399
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  Ni changamoto tubadilike ilitufike malengo.
   
Loading...