Mvua za El Nino ziko pale pale - TMA

rushanju

JF-Expert Member
Nov 3, 2011
3,130
4,620
Bado mama Kijazi anasema zile mvua hatari sana za El nino bado ziko pale pale na hataki utabiri wake udharauliwe. Amesema kanda ya ziwa zimeanza na Dsm kaa standby.
 
king kong umenichekesha kweli! Eti TB Lusekelo!? Kwa hiyon tuna TB Gwajima, TB Mwingira, TB Kakobe au siyo?
 
Last edited by a moderator:
Hivi huyu mama hana undugu na marehemu shekh yahya!?......... Asije akawa anatuchezea!!
 
Bado mama Kijazi anasema zile mvua hatari sana za El nino bado ziko pale pale na hataki utabiri wake udharauliwe. Amesema kanda ya ziwa zimeanza na Dsm kaa standby.

........... In fact hatumzungumzii Mama Kijazi kama mtu binafsi... tunazungumzia taasisi yake TMA kwa ujumla wake..... inapotoa taarifa za utabiri, na kama utabiri huo haujatimia basi wanatakiwa kurudi tena kuujulisha umma nini kinachoendelea ...feed back, lakini wao wakishatoa mara moja na hakuna kinachoendelea wanakaa kimya.... hakuna mtu amayedharau utabiri wake hata mara moja... ....
 
Kuna wakati walijitetea kuwa wana vifaa duni ndo maana wanafluku
Je washapata vifaa vya kisasa?
 
Bado mama Kijazi anasema zile mvua hatari sana za El nino bado ziko pale pale na hataki utabiri wake udharauliwe. Amesema kanda ya ziwa zimeanza na Dsm kaa standby.

Ukizoea utabiri wa hali ya hewa in most africa countries, it can real mess you up ukienda nchi za wengine coz back here more than 90% of the time huwa wanabahatisha!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom