Ajali Mbaya maeneo ya TSN Mikocheni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajali Mbaya maeneo ya TSN Mikocheni

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mlachake, Oct 16, 2012.

 1. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,919
  Likes Received: 608
  Trophy Points: 280
  Nimepita maeneo haya asubuhi kuna Dala dala limegongana na Landrover 110 ya Jeshi, Naona miili tu inatolewa kwenye Landrover ya Jeshi.

  So hurting.
   
 2. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,943
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  dah! poleni inamaana wamekufa ama wamejeruhiwa?
   
 3. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #3
  Oct 16, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  Duh! Watakuwa wamewaaga wake,watoto na waume zao kuwa "tutaonana jioni eeh" rip walio poteza uhai.
   
 4. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #4
  Oct 16, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,544
  Likes Received: 18,184
  Trophy Points: 280
  Inapotokea ajali, a side watcher anaweza tuu tuu kuona miili ikitolewa na sio kuthibitisha uhai!. hata kama unaona immovable body, bado huruhusiwi kuthibitisha kifo!.

  Poleni kwa wahanga wa ajali hiyo.
  Mtoa taarifa alipaswa asimame japo for few minutes ili atupe more detailed info.
  Any way thanks kwa info!.
  P.
   
 5. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #5
  Oct 16, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,544
  Likes Received: 18,184
  Trophy Points: 280
  Ajali imetokea, shuhuda kaona miili ikiokolewa, hili la vifo limetokea wapi mpaka mnaleta na rip?!. Sometimes wajameni, tuacheni uchuro!.
  P.
   
 6. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #6
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Mkuu jana nilikuona kwa mbali ukiwa umefunga mkono! Umeumia AMA shemeji alikupa kichapo?
   
 7. atubariki

  atubariki JF-Expert Member

  #7
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 225
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  poleni sana wahanga
   
 8. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #8
  Oct 16, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,544
  Likes Received: 18,184
  Trophy Points: 280
  , nilipata ajali hii , mkono ukapata Brachial plexus injury kwa sasa naendelea na physiotherapy!.
   
 9. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #9
  Oct 16, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,315
  Likes Received: 2,601
  Trophy Points: 280
  Mwanajeshi mmoja kafariki papo hapo, dereva wa daladala kakatika miguu, na wanajeshi wengine wamejeruhiwa vibaya.
  Sababu ya ajali ni kutanua kwa daladala iliyokuwa ikitokea Kawe na kugongana uso kwa uso na Landrover ya jeshi.
  Injini ya Landrover imezama kiasi cha kuvivunja vunja viti vya mbele yaani dereva na abiria wa kushoto yake.

  Source: Bonge wa PB
   
 10. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #10
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,919
  Likes Received: 608
  Trophy Points: 280
  Confirmed: Only one person died on the spot others badly Injired!!

  Source: Clouds FM, Bonge.
   
 11. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #11
  Oct 16, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  dereva wa daladala kakatika miguu yote hapohapo
   
 12. Fadhili Paulo

  Fadhili Paulo Verified User

  #12
  Oct 16, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 3,241
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 135
  Nimepita hapo siyo muda ila sijasimama, ni ajali mbaya kweli kuishuhudia asubuhi asubuhi hii
   
 13. Miwatamu

  Miwatamu JF-Expert Member

  #13
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 2, 2012
  Messages: 1,453
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 133
  Wafikishie pole zangu nyingi na kwa waliobaki Mungu awape kupona haraka. AMINA.
   
 14. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #14
  Oct 16, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,544
  Likes Received: 18,184
  Trophy Points: 280
  Thanks for update.
   
 15. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #15
  Oct 16, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,544
  Likes Received: 18,184
  Trophy Points: 280
  Mlachake, uptade 1st post with this
   
 16. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #16
  Oct 16, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,245
  Trophy Points: 280
  Pole tena pasco.
  Ninefurahi umejibu kwa ujasiri. Inshaallah Mungu atakuponya.
   
 17. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #17
  Oct 16, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,245
  Trophy Points: 280
  Huwa nawashangaa watu wenye tabia kama yako. When i was a kid niliambiwa its rude to ask such questions. Najijutia kuwa hata wanao watakuwa na tabia hizi hizi. Pole sana.
   
 18. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #18
  Oct 16, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Kasema 'miili' mama, ujue is a different story
   
 19. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #19
  Oct 16, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,544
  Likes Received: 18,184
  Trophy Points: 280
  Always niko open, nothing to hide!.
   
 20. Mtoto halali na hela

  Mtoto halali na hela JF-Expert Member

  #20
  Oct 16, 2012
  Joined: Aug 10, 2012
  Messages: 19,177
  Likes Received: 2,882
  Trophy Points: 280
  Nawatakia afya njema wale wote waliopata adha kwenye hili tukio.
   
Loading...