Tfda wanafanya kazi gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tfda wanafanya kazi gani?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kilumbi, Oct 16, 2012.

 1. k

  kilumbi Member

  #1
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 9, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Leo mchana niliwapigia simu watu wa TFDA na kuwaeleza kuwa kuna maji ya RWENZORI hapa MUSOMA ambayo yamesambaa mjini wakati muda wake wa kutumika umekwisha. Cha ajabu wamenijibu kwamba wao wako mbali hivyo hawawezi kushughulikia suala hilo badala yake nimtafute Bwana Afya wa Manispaa.

  Hivi masuala ya Chakula na Dawa si yanapaswa kushughulikiwa na TFDA? Kwa hiyo sisi tulio mbali na Makao makuu ya TFDA tuendelee kula/kutumia vitu vilivyoisha muda wake?

  Nadhani sasa kuna haja ya kuweka OFISI za TFDA kwenye kila Makao Makuu ya Mkoa.

  View attachment 68326
   
 2. r

  rodrick alexander JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 4,093
  Likes Received: 1,477
  Trophy Points: 280
  wapigie na watu wa vyombo vyahabari ili uwaumbue vizuri
   
 3. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #3
  Oct 17, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,966
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  wavuta mshiko tu........
   
Loading...