Kweli akiri ni nywele na kila mtu anazake

Hashpower7113

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
1,353
2,137
Kweli binadamu hatutaweza kufanana akil au maadili, yan saiz hawa watangazaji wa kipindi cha JAHAZI CLOUZ badala wakae wazungumze mambo ya maana wanakaa na kujadili mambo ya kishenz ya kutongozana eti wanaulizana mwanamke na mwanaume ni nani anaweza kumtongoza mwenzie haraka, hili ndio tatzo la kuingia kazin ukiwa umeshakunywa pombe hawana nidhamu kabisa.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Jaribu Zenji radio; kuna taarab...Haina upuuzi kama unaosikiliza kwa hapo wahuni
 
tushasema wanaotuleta habari za kibonde hapa ni wanafiki
mnasikiza ya nini kama inawakera? waaachie vijana wa vijiweni
zipo radio nyingi zenye mada za busara.
 
Kweli binadamu hatutaweza kufanana akil au maadili, yan saiz hawa watangazaji wa kipindi cha JAHAZI CLOUZ badala wakae wazungumze mambo ya maana wanakaa na kujadili mambo ya kishenz ya kutongozana eti wanaulizana mwanamke na mwanaume ni nani anaweza kumtongoza mwenzie haraka, hili ndio tatzo la kuingia kazin ukiwa umeshakunywa pombe hawana nidhamu kabisa.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

.
Hili ni tatizo la kitu kinachoitwa demokrasia. Kila mtu ni mwalimu na hata kahaba anapewa media coverage kutoa somo la faida za ukahaba. Vivyo hivyo na mvuta bangi, tapeli, fisadi, mchawi nk.
.
 
Back
Top Bottom