Mungu wangu, kanisa jingine lachomwa moto huko Yombo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mungu wangu, kanisa jingine lachomwa moto huko Yombo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by 3squere, Oct 18, 2012.

 1. 3squere

  3squere JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 929
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  kanisa jingine limechomwa moto uko yombo sasa ivi source Waporadio Mungu azidi kunipa moyo wa chuma
   
 2. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,446
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  May their soul rest in peace .amen Nafikiri waislam hawamjui adui yao kabisa .
   
 3. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Pole sana, please kuweni na subra, sote ni NDUGU, tofauti ni uelewa.
   
 4. K

  KITENGE KOFIA Member

  #4
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 14, 2012
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Polen...wanachoma jengo hawachomi kanisa
   
 5. MARCKO

  MARCKO JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 2,266
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  What to do!
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,114
  Likes Received: 2,221
  Trophy Points: 280
  Hatafi sana wakichoma kanisa la kwetu huku mbezi tutawapiga mabomu
   
 7. Micha

  Micha JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2012
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 269
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Toa details zaidi basi, limechoma na nani na kwa sababu gani?
   
 8. L

  Lorah JF-Expert Member

  #8
  Oct 18, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 1,193
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  wachome tu Tutajenga kwa SIKU TATU... ukristo sio majengo .. Mwili wetu ndio Hekalu takatifu la Bwana... wakimaliza kuchoma watuambie....
   
 9. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #9
  Oct 18, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,446
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  huwajui wenye alerge na makanisa ????????????
   
 10. h

  hippocratessocrates JF-Expert Member

  #10
  Oct 18, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 3,613
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Mkuu nivea, greetings..kuna watu wamekufa?..umenishtua na post yako!
   
 11. Nsabhi

  Nsabhi JF-Expert Member

  #11
  Oct 18, 2012
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 1,096
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Serikali inawalea sana wachoma makanisa. Cjui wanataka wakristo nao wachome misikiti. Mwisho wake utakuwa nini. Hii serikali haifai kabisa.
   
 12. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #12
  Oct 18, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,446
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  My silence has an end -Adolf Hitler
   
 13. Micha

  Micha JF-Expert Member

  #13
  Oct 18, 2012
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 269
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Aisee kumbe kuna watu wana alerge na makanisa? Shauri yao, siku zikifika watakuja kuyatafuta makanisa na hawatayaona.
   
 14. awp

  awp JF-Expert Member

  #14
  Oct 18, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,715
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  wakimaliza makanisa watatuchomea vibanda vyetu
   
 15. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #15
  Oct 18, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,395
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 160
  Mungu akubariki sana kwa kulijua hili,hatupigani na mwili ambao utabaki kwenye vumbi siku ya mwisho bali kwa ROHO inayoishi milele!
   
 16. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #16
  Oct 18, 2012
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,625
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Waje kanisani kwetu nitawakata mapanga. Wasidhani uvumilivu hauna mwisho! wasogee niondoe shingo zao kama wale jamaa wa bosinia walivyowafanya!
   
 17. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #17
  Oct 18, 2012
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,842
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Dah..waache wachome majengo tu hayo...vita vyetu sie si kwenye miili ya nyama bali vya kiroho. Nae atawapatiliza kadri ya matendo yao hata vizazi vyao vya nne
   
 18. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #18
  Oct 18, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 25,280
  Likes Received: 7,083
  Trophy Points: 280
  Kwanini askari hawakuchukua hatua zozote? hii taatifa ilishatolewa tangu asubuhi na askari wamekaa kimya!!!! are they part of it? pumbafu kabisa
   
 19. A

  Anold JF-Expert Member

  #19
  Oct 18, 2012
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 1,253
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Wakishamaliza kuchoma watuambie tujenge ya kisasa zaidi tena makubwa maana sasa ni wakati wa Kanisa kuvuna waumini maana wengi wenye hekima watajiuliza kuhusu dini zao
   
 20. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #20
  Oct 18, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,395
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 160
  Mleta taarifa tuwekee jina la KANISA
   
Loading...