Hawa ni Akina nani? na Wanapata wapi mawasiliano yetu

Dumelang

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
3,194
5,598
nimekuwa nikipokea text kupitia line yangu ya tigo, mtu akinitaka kufanya nao kazi eti nawezapata kipato cha ziada kwa kufanya nao kazi, kisha hutaja jina langu halisi na wanasema wapo sinza nifike ofisini kwao, imetokea mara kwa mara na ignore, jana na leo imetokea kwa ndugu zangu wawili, mmoja akaongea nao, akapokea mdada kamwambia aende sinza mori akifika hapo ampigie, nina wasiwasi., tusaidiane..je hawa ni wakina nani? na nani huwapa namba zetu bila na majina bila idhini idhini?
 
Nahisi kama unabusinesscard wanaweza kukupata kirahisi na kwenye simu zilizoibiwa kama mtu kakusave jina lote wanachukua (nahisi)

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
kaka hao ni wezi, usiende kuna mtu alishatoa ushuhuda bhapa jamvin kuwa alitapeliwa na hao jamaa, km unaweza tafuta huo uzi
 
nafikiri watakuwa wauzaji wa forever living sijui
zamani walikuwa GNLD
 
ipo siku na mimi nitawafuata nikawasikilize mara kwa mara wananipigia simu !
 
nimekuwa nikipokea text kupitia line yangu ya tigo, mtu akinitaka kufanya nao kazi eti nawezapata kipato cha ziada kwa kufanya nao kazi, kisha hutaja jina langu halisi na wanasema wapo sinza nifike ofisini kwao, imetokea mara kwa mara na ignore, jana na leo imetokea kwa ndugu zangu wawili, mmoja akaongea nao, akapokea mdada kamwambia aende sinza mori akifika hapo ampigie, nina wasiwasi., tusaidiane..je hawa ni wakina nani? na nani huwapa namba zetu bila na majina bila idhini idhini?
gnld na forever living
 
Hata hivyo unatakiwa kuwa makini, kama ni forever kwanini wasijitambulishe hivyo au unaweza pia wauliza wamepataje mawasiliano yako. mjini hapa kuna mambo mengi waweza lizwa pia.
 
gnld rafiki zako waliokwisha jiunga wanatoa no na majina yako
mfano;
ndugu xxx mm ni xxx nipo sinza kijiweni najishughulisha na mambo ya vipodoz no yako nimeipata kwa ndug xxx biashara inalipa sana kunawatu xaxa wanajisomesha na wanaendesha magari njoo utaona faida yake kwa kipindi kifupi.

kuwa makini
 
hao ni GNLD, hata mimi waliniita, nikaona wanafanya kazi ya kuuza miti shamba,
 
nimekuwa nikipokea text kupitia line yangu ya tigo, mtu akinitaka kufanya nao kazi eti nawezapata kipato cha ziada kwa kufanya nao kazi, kisha hutaja jina langu halisi na wanasema wapo sinza nifike ofisini kwao, imetokea mara kwa mara na ignore, jana na leo imetokea kwa ndugu zangu wawili, mmoja akaongea nao, akapokea mdada kamwambia aende sinza mori akifika hapo ampigie, nina wasiwasi., tusaidiane..je hawa ni wakina nani? Na nani huwapa namba zetu bila na majina bila idhini idhini?

wafuate tu, kitakacho kutokea utatujuza pia
 
ni wajasiriamali usihofu wanataka nawe ushiriki watakuelimisha aliyekupigia ukienda ukafundishwa ukijiunga anafaid kama wewe utakavyowaunganisha wengine hata mie nilishaenda wanakufundisha kufanya kaz za kijasiriamali kwa bidhaa zao
 
Achana nao, ni wababaishaji tu. Hata mie washanipigia nikafanya ka simple research kuwajua, nikagundua kuwa hawana jipya.
 
Dumelang angalia bana, hawa jamaa hawajaanza leo kutapeli kuna watu wengi washalizwa hapa bongo kuna walileta visa hivyo humu na wengine walisimulia magazetini mkuu kuwa makini kwa kila jambo unalopaswa kufanya chini ya jua. majina yako ni rahisi tu kupata siku hizi mambo ya teknolojia kama ulisajili tigo pesa au m pesa ndo kabisaa huweji kujificha. pia wanadili na watu wa simu bana. just take care every step you are goin to make brother!
 
Back
Top Bottom