Yombo KKKT hali si shwari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yombo KKKT hali si shwari

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Voice of Wisdom, Oct 18, 2012.

 1. Voice of Wisdom

  Voice of Wisdom JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 541
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  kama nilivyoandika kwenye kichwa cha habari, nimepokea sms kwenye simu yangu ikielezea kuwa kuna watu wasiofahamika wamefika katika kanisa la yombo kkkt na kumjeruh mlinzi wa kanisa hadi kukimbizwa hospitali. Kwa maelezo ya ujumbe tukio limetokea muda huu.
  Kwa wale walioko yombo naomba mtupe taarifa kama hii ni kweli
  je ni watu gani hao?
  Nia yao ni nini na/au kwa nini wamemjeruh mlinzi.
  Nawasilisha
   
 2. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mh!ina maana hali ni tete kiasi hiki?
   
 3. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  mkuu mpigia simu aliekutumia sms akupe mkanda kamili..
   
 4. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,644
  Likes Received: 1,437
  Trophy Points: 280
  Uamsho Haram!
   
 5. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  utamaduni wa kizungu unatutesa sana sasa hivi watanzania...
   
 6. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Tumefikia pabaya sana! Ilianza kidogo kidogo hivi hivi kote kulipotokea vita! Kikwete anakula urojo na halua oman, i hate kikwete, i hate ccm! Rais gani asiye na maamuzi, rais yupo yupo tu. Nadhani body yake pia inamfanya anakuwa dhaifu kwenye kufikiri, ukishamuona rais anapanda bembea na mkewe, jua kazi ipo! Aanze gym, afanye mazoezi ya kidume, labda atapata moyo wa kuamua kwa busara! Rais dhaifu katokana na mwili legelege!
   
 7. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Voice of Wisdom!

  Umeshindwa kupiga simu kwa aliyekupatia sms?

  Rudi na news zaidi!

  Hali hii si nzuri hata kidogo masikioni pangu!
  Sijui tuna serikali ya namna gani hapa Nchini! Ama ndio imedhihirika ya kwmb serikali ni LEGELEGE DHAIFU fluu!
   
 8. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #8
  Oct 18, 2012
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Nafikiri kichwa cha habari kingekuwa hiv '' TUKIO LA KUSHTUA YOMBO KKKT !!''
   
 9. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #9
  Oct 18, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,811
  Likes Received: 36,892
  Trophy Points: 280
  Inategemea na mali zilizopo ndani ya jengo husika.


  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 10. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #10
  Oct 18, 2012
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,209
  Likes Received: 1,012
  Trophy Points: 280
  .
  Shekh Yahya keshasema hao walinzi wa kiislamu hawaonekani. Labda kwa wale waliokariri sura yasin vizuri.
  .
   
 11. Voice of Wisdom

  Voice of Wisdom JF-Expert Member

  #11
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 541
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Wakuu ni kwamba hii sms nimetumiwa na mpendwa na nilipotaka kupata taarifa zaidi toka kwake kaniambia naye ameipata toka kwa mpendwa mwingine akimsisitiza aombe kwa ajili ya hyo hali, na nikaona kupata habari za uhakika ni bora niifikishe humu jamvini kwanza kabla sijachukua uamuzi wa kui-"foward" kwa wapendwa wengine ili hata wakiniuliza maswali kama haya mnayoniuliza wakuu niwe na cha kuwajibu.

  Naamini humu jamvini kuna watu wanaotoka yombo na viunga vyake au wanaweza wakawa wamepata taarifa kwa undani zaidi kuliko tetesi nilizo nazo, naomba wenye taarifa za ukweli kuhusu tetesi hii watueleze.
  Mbarikiwe wapendwa.
   
 12. Chuck j

  Chuck j JF-Expert Member

  #12
  Oct 18, 2012
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 1,989
  Likes Received: 416
  Trophy Points: 180
  Huyu jamaa alieleta hii habari ni mchochezi,,,,,,,,,
   
 13. Voice of Wisdom

  Voice of Wisdom JF-Expert Member

  #13
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 541
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  asante kwa ushauri mkuu. niwerekebisha mkuu,
   
 14. A

  Asa79 JF-Expert Member

  #14
  Oct 18, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 591
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ambaye alisema atakaye mpinga kikwete atakufa au mwingine?...hizi reference zingine jamani....!
   
 15. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #15
  Oct 18, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Uamsho wako huko pia?
   
 16. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #16
  Oct 18, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Wanataka kuiba kitimoto, Hilo kanisa ni maarufu kwa ufugaji wa kitimoto. Nilimkuta mchungaji mmoja hapo akifanya mazoezi ya ku-send mapepo kwa hao swine!
   
 17. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #17
  Oct 18, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,357
  Likes Received: 2,987
  Trophy Points: 280
  Misikiti ina nini cha thamani Mkuu?
   
 18. Jaslaws

  Jaslaws JF-Expert Member

  #18
  Oct 18, 2012
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 5,138
  Likes Received: 2,188
  Trophy Points: 280
  misikiti italindwaje wakati wanaochoma makanisa ni hao wa uko misikitini?
   
 19. r

  rolex Member

  #19
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 17, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  nimepiga simu mbili tatu kwa sababu ndo kanisa nalosali naona sio hapo ila naambiwa ni kanisa la assemblies lililopo karibu na petrol station ya njia panda ndo kuna vurugu imetokea nazidi fatilia nitakufahamisheni
   
 20. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #20
  Oct 18, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,755
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Kama ni kweli inasikitisha sana!!!
  Mungu gani huyo wa kufanya uharibifu.....?? nawashukuru wazazi wangu kwa kunipeleka shule vinginevyo na mimi ningeshapewa buku kama ujira wa kuchoma makanisa
   
Loading...