Waislam wapanga kukusanyika kesho mnazi mmoja

Jicho la Tai

JF-Expert Member
Oct 10, 2012
1,449
574
Katika harakati zangu za hapa na pale leo nimepita maeneo kadhaa yakiwemo ya vijiweni. na katika story za hapa na pale nkaambiwa kesho tutakuwa mnaz mmoja ili wenzetu watolewe.
ki2 kingne katika kuhakisha story za vijiwen za kweli alikuja ustadh mmoja kwenye duka moja la waarabu liko barabara ya kutoka congo kwenda mnaz mmoja, wakat anaingia alionekana mwenyej eneo lile kias cha kuwa na utambuz kuwa mi mgen, akanitazama kama anataka kuniuliza k2, nkajiwah nkamwambia "asalam aleykhum shehe wangu" akajibu vzur akaanza na kutabasam, akasema nlijua we wa tofaut nkaogopa kutoa ujumbe wangu bwana. nkamwambia kuwa huru shehe wangu. akasema jaman kesho mnaz mmoja huku akimsisitiza wa dukan. wote kesho mnaz mmoja ad kieleweke, ilimrad uwe unajua kuongea kiswahili. akaondoka nkasema kimoyomoyo patanuka kesho.
NAWASILISHA.
 
hiyo ni hatari sana sijui hawa watu wana matatizo gani tumuome mungu tu awasaidie!!!!!!!!!!!:spy:
 
:A S embarassed: tuone sasa kama serikali itatii na kuogopa na kumwachia! dawa wapate kichapo zaidi.
 
Wazibitiwe ili wasije kufanikiwa kuvuruga amani aliyotuachia baba wa Taifa, kama ambavyo wamefanikiwa kuivuruga amani ya Afghanstani kwa kisingizio cha kumpigania Mungu as wao wana nguvu kumshinda Mungu
 
Wakikusanyika mnazi mmoja au minazi miwili ukonga,kipondo kiko pale pale! tena itakuwa rahisi kuwaangushia kisago.
 
wajikusanye tuuu haina shida ila na polisi wamejiandaa kuwamwagia maji na mabomu ya machozi nao wamejiandaa
 
Kile kikwete anachopanda ndicho atakachovuna. Kwanini alipuuzia tangu mwanzo kuwa ni hatari kudekeza dini mojawapo kati ya zilizo hapa nchini? ALWAYS SAMAKI MKUNJE ANGALI MBICHI, AKISHAKAUKA HAKUNJIKI.
 
naona madogo wanataka kujitoa mhanga, wengine wananoa makwanja ya kufyekea nyasi na kuyageuza majambia, jamani kesho ni hatari
 
Wana haki ya kukusanyika na hakuna wa kuwanyang'anya haki hiyo ila wafuate taratibu za mikusanyiko yaani watoe taarifa polisi masaa 48 kabla ya kukusanyika na pia waeleze malengo ya mkusanyiko wao vinginevyo sheria na hatua za kinidhamu zitachukuliwa dhidi ya wote watakao husika.Kama lengo ni kuleta vurugu serikali na jeshi la polisi wanafuatilia hatua kwa hatua kila jambo na hivyo wasimlaumu yeyote kwakuwa hatupo tayari kuendekeza upuuzi.Nchi ina sheria na sote tuna wajibu wa kuzifuta pasi ya shuruti.
 
Wana haki ya kukusanyika na hakuna wa kuwanyang'anya haki hiyo ila wafuate taratibu za mikusanyiko yaani watoe taarifa polisi masaa 48 kabla ya kukusanyika na pia waeleze malengo ya mkusanyiko wao vinginevyo sheria na hatua za kinidhamu zitachukuliwa dhidi ya wote watakao husika.Kama lengo ni kuleta vurugu serikali na jeshi la polisi wanafuatilia hatua kwa hatua kila jambo na hivyo wasimlaumu yeyote kwakuwa hatupo tayari kuendekeza upuuzi.Nchi ina sheria na sote tuna wajibu wa kuzifuta pasi ya shuruti.

Waliandamana kwa ajili ya kuilazimisha serikali kuwatoa watu waliyokamatwa kwa kususia sensa hawakuomba kibari cha kuandamana,lakini walisikilizwa na watu wao wakawapa dhamana, Chezea waislam wewe, haina haja ya kibari maandamano yapo palepale
 
Serikali inapaswa kuwa serious zaidi, wawe agressive zaidi kukomesha huu upuuzi unaoendelea..
Hawa jamaa naona wanajifanyia mambo as if hii nchi haina sheria au sheria zimeweka kwa ajili ya watu fulani tu.
Na waislam wanapaswa kuwa na subira, watumie busara katika kufanya mambo yao..waache kufanya mambo kwa jazba.
Inasikitisha kuona watu wanachokoza vita kwa watu wasiopenda vita.
Kama wamechoka na amani iliyopo Tz, kama wana hamu ya kupigana waende afghanistan wakachokoze huko. Tanzania hatutaki haya mambo..
 
katika harakati zangu za hapa na pale leo nimepita maeneo kadhaa yakiwemo ya vijiweni. Na katika story za hapa na pale nkaambiwa kesho tutakuwa mnaz mmoja ili wenzetu watolewe.
Ki2 kingne katika kuhakisha story za vijiwen za kweli alikuja ustadh mmoja kwenye duka moja la waarabu liko barabara ya kutoka congo kwenda mnaz mmoja, wakat anaingia alionekana mwenyej eneo lile kias cha kuwa na utambuz kuwa mi mgen, akanitazama kama anataka kuniuliza k2, nkajiwah nkamwambia "asalam aleykhum shehe wangu" akajibu vzur akaanza na kutabasam, akasema nlijua we wa tofaut nkaogopa kutoa ujumbe wangu bwana. Nkamwambia kuwa huru shehe wangu. Akasema jaman kesho mnaz mmoja huku akimsisitiza wa dukan. Wote kesho mnaz mmoja ad kieleweke, ilimrad uwe unajua kuongea kiswahili. Akaondoka nkasema kimoyomoyo patanuka kesho.
Nawasilisha.

naona wanahamu ya kuko.......e.....wa
 
Munguibariki tanzania mungu bariki afrika,wote jamani tuombe amani kwa ajili ya tanzania(easy to start,not easy to stop)
 
hivi ****** amerudi baba dhaifu ameacha nyumba inaungua amekwenda kunadi rasilimali zetu badala aje atoe maamuzi magumu
 
Hawa dawa unawafunga kama mia hivi kwa miaka 3 watakoma ukiwachekea watarudia


Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom