Makanisa ya Changanyikeni Dar kuweni macho kuanzia hivi sasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makanisa ya Changanyikeni Dar kuweni macho kuanzia hivi sasa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Cool, Oct 17, 2012.

 1. C

  Cool Member

  #1
  Oct 17, 2012
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 98
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Kwa habari nilizonazo, ni kwamba kuna kundi la watu wanasemekana ni waislamu wenye msimamo mkali wamepiga kambi maeneo ya Chuo kikuu huko Changanyikeni kwa ajili ya kufanya matukio kama yale ya Mbagala na sehemu zingine. Kuweni macho, ......(tafadhali msipuuze)

  Source.. Mimi mwenyewe
   
 2. CHUAKACHARA

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,825
  Trophy Points: 280
  Tusihamasishe machafuko. Hakuna mahali popote JESUS alopolipiza kisasi au kutoa mafundisho ya chuki. Hata mtu akikuzuia kuabudu, mpe na shavu la pili, sio kumuua kama yalivyo mafundisho mengine. Ripoti the issue to the police for further action.
   
 3. MWILI NYUMBA

  MWILI NYUMBA JF-Expert Member

  #3
  Oct 17, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 819
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Sababu za kuchoma hayo makanisa ya Changanyikeni ni zipi?
   
 4. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #4
  Oct 17, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,640
  Likes Received: 2,872
  Trophy Points: 280
  Mkuu, hiyo tahadhari inahamasisha vipi vurugu?
   
 5. Shenkalwa

  Shenkalwa JF-Expert Member

  #5
  Oct 17, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 580
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Sababu ya kuchoma makanisa wanazijua waislamu. Huyo mtoa mada katoa angalizo nami namshukuru kwa hilo. Kwa mtu ambaye haangalii mambo kwa kina ndiyo anaweza kuuliza swali kama hilo. Usifikiri kitendo cha mtoto aliyekojolea msahafu kilikuwa ni cha kwake na huyo mwenzake. Huu ni mpango uliosukwa na waislamu. Yule mtoto aliyemwambia mwenzake akikojolea msahafu atageuka kuwa mwehu yale sio maneno yake bali katumwa ili mradi wapate mahali pa kuanzia kuchoma makanisa. Huu ni mpango wa waislamu uliopangwa kwa muda mrefu na ulianzia Zanzibar, Tunduru na sasa Dsm. Na haya yanakuja baada ya ule mpango wao wa kuweka kipengele cha kuhesabu waislamu wakati wa sensa kushindikana kwa sababu pale ndipo walikuwa wameweka mtego wao. Wakristo kaeni chonjo mpinga Kristo ameshafika. Kama hamkubali subirini muone
   
 6. Chuma Chakavu

  Chuma Chakavu JF-Expert Member

  #6
  Oct 17, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,524
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Sidhani kama zinatofautiana sana na sababu zilizopelekea wana uamsho kuchoma makanisa zanzibar! wana uamsho walipinga muungano kwa kuchoma makanisa!! na hapa wanaweza kutumia hata kisingizio cha kudai mahakama ya kadhi n.k kwa kuchoma makanisa!!
   
 7. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Hivi kweli tutafika huko tunako kwenda?
   
 8. M

  Michael Mwakyusa JF-Expert Member

  #8
  Oct 18, 2012
  Joined: Mar 18, 2012
  Messages: 307
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Pumbavu wewe, wewe mwenyewe ni polisi linda kanisa lako sio kulipiza, inamaana jambazi akivamia nyumbani kwako utamruhusu aue wanao na mkeo.
   
 9. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #9
  Oct 18, 2012
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,523
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Hata Mungu alisema jisaidie nami nitakusaidia.Tujilinde ebo
   
 10. D

  Dr.Who Senior Member

  #10
  Oct 18, 2012
  Joined: Jun 23, 2012
  Messages: 172
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mnaanza kujichang'anya wenyewe na bado kazi mnayo, hadi muache chokochok na ufisadi, Makanisa yanayojengwa kwa pesa za ufisadi hayawezi dumu..
   
Loading...