Gazeti pendwa radi tanzania limelud mtaani.pata nakara yako kila j5 ya wiki

Mtelekezwa

Senior Member
Feb 6, 2012
109
23
Habari wana jukwaa.Napenda kuwataaarifu na kuwakumbusha gazeti letu pendwa lililopotea kwamuda kuwa hivi sasa limeludi mtaani kwa nguvu kubwa ,tukiwa kama wapenda ukweli na mapinduzi halisi,basi tupate nakala za gazeti hili kwa habari za uchunguzi na zenye tasmini ya hali ya juu.Nawasilisha
 
Mbona tu wabishi hivi, hivi kila habari siku hizi ni SIASA( as on kila habari lazima iwe posted jukwaa la siasa)?..kamataarufa kwa nini isiende kule jujwaa la habari, hoja mchanganyiko n.k?

Halafu hiki kiswahili cha "limelud", "nakara", "j5", "harisi", "tathimini"?????
 
sijatumwa nimetoa taarifa kwa wale watakaopenda kuelewa.Na limewekwa hapa kwa sababu ni la Habari za utafiti na si udaku elewa kijana
 
sijatumwa nimetoa taarifa kwa wale watakaopenda kuelewa.Na limewekwa hapa kwa sababu ni la Habari za utafiti na si udaku elewa kijana

Tatizo wewe mhariri wake hata lugha hujui. liache lijifie tena.
ila siku mwanahalisi likirudi tafadhali tujuze.
 
Mleta "mada" umelitia aibu hilo gazeti. Rudi darasani ukajifunze lugha (misamiati na uandishi sahihi).
 
Back
Top Bottom