Vurugu za waislam kuchoma makanisa, JB ni mfadhiri?????? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vurugu za waislam kuchoma makanisa, JB ni mfadhiri??????

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Gama, Oct 19, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 7,718
  Likes Received: 678
  Trophy Points: 280
  Nimetafakari sana, nikaona nilete mada hii hapa jukwaani. Kwa kuwa vurugu za kuchoma makanisa na kuharibu mali zilinzia Tunduru tena bila hata ya kisababishi, kisha ikatengenezwa sababu kule mbagala, nashawishika kuwa ugonvi wa mpaka baina ya Tanzania na malawi ni kisababishi na kuwa huenda Joyce Banda ndiye anayefadhiri vurugu hizi ili kuifanta tanzzania isitawalike na hatimaye aendelee na mpango wake wa utafiti wa gesi na mafuta katika ziwa Nyasa.
   
 2. McCOY

  McCOY Member

  #2
  Oct 19, 2012
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 76
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  wenzio wakipiga mswaki wanakunywa chai... sio kuvuta BANGI!!!!
   
 3. i

  issenye JF-Expert Member

  #3
  Oct 19, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 644
  Likes Received: 375
  Trophy Points: 80
  Mmeacha kusema vurugu zinasababishwa na CHADEMA sasa mmemgeukia Banda. Nyinyimwewe bwana, mna mambo sana. wakati mnaeneza chuki za udini hamkuliona hili
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Oct 19, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,235
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Kichwa maji!
   
 5. Nokla

  Nokla JF-Expert Member

  #5
  Oct 19, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 2,122
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 160
  Masabuli at work
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...