Mwingira na shamba lake kunani?

Mjenda Chilo

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
1,467
513
Nimeshindwa kuconnect dots kitendo cha 'nabii na mtume' Mwingira na shamba lake kuchomwa moto kule Sumbawanga. Aliwahi kujitokeza na kujustify kitendo chake cha kununua shamba kutoka PSRC, lkn inaonesha wazi wananchi hawataki uwekezaji huo though sijustify kitendo chao cha kuchoma moto mpaka matrekta. Inaelekea wale wote walionunua mali zetu kiubwerere, yeye, Mzindakaya, Madabida nk wanaanza kuonja shubiri ya ujanja ujanja wa kula vyetu. what should be the proper move? kuiingiza serikali kwenye biashara kwa kunationalize au kukubali matokeo kwamba tumepigwa? ila najua hawa 'wawekezaji' they wil never enjoy their investments kama trend yenyewe ndo hii. Habari ya kuchoma shamba la Efatha na matrekta Rukwa, leo Taarifa ya habari TBC.
 
Wengine hatujaona hiyo habari ebu fafanua vizuri........Ni kina nani waliochoma hilo shamba? Je chanzo cha kuchoma ni nini? Ni zile Hekari 500 za mwingira?
 
Waislam wangedeal na hawa mafrimason kwanza.Kujilimbikizia mali ni kosa kwa nchi na mbingu haswa zitokazo kwenye mifuko ya maskini.Shenz type Mwingira na wote ujanja ujanja wa kuiba mali za waumini kwa kulitaja jina la YESU.
 
Back
Top Bottom