Kanisa lateketea kwa moto TUNDUMA

Status
Not open for further replies.

Magesi

JF-Expert Member
Jul 10, 2012
2,587
573
Kuna tetesi kua kuna kanisa limengua moto huko TUNDUMA mwenye taarifa zaid aendelee ku2juza nawasilisha
 
haya ile mbegu ya udini ndo ishamea bado ya ukabila iliyopandwa ili kuiangamiza chadema
 
hata kama ni wachache bado wanaweza kuchoma ,kuchoma kitu hakihiitaji kuwa na watu wengi.
 
MUNGU wangu! Makanisa yamekosa nini tena?

Hili siungi mkono kabisa kama ni kweli!
 
Siku zilizopita shetani anayewatumia wenzetu kuharibu shule na mabweni ya kikristo. Sasa ndio wameamua kuharibu/kuchoma makanisa ila kila mmoja atatoa hesabu zake mwenyewe mbele za mungu.
 
Kama hii ni kweli basi tujiandae kwa mengi maana wakristo hawawezi endelea kuona makanisa yao yakichomwa kwa chuki za kidini ndio hayo walio yahubiri kwenye uchanguzi leo hii ni janga kwa taifa na kwa watu wasio na hatia. waislam eleweni makani/ wakristo sio adui kwenu bali serikali ndio iliyoleta haya machafuko
 
Kuna tetesi kua kuna kanisa limengua moto huko TUNDUMA mwenye taarifa zaid aendelee ku2juza nawasilisha

imekua ndo fasheni sasa kuja na tetesi za kuungua kwa makanisa,,,,,,,,,,,maana hii tetesi ya saba sasa,,,haya endelea na tetesi
 
Kama hii ni kweli basi tujiandae kwa mengi maana wakristo hawawezi endelea kuona makanisa yao yakichomwa kwa chuki za kidini ndio hayo walio yahubiri kwenye uchanguzi leo hii ni janga kwa taifa na kwa watu wasio na hatia. waislam eleweni makani/ wakristo sio adui kwenu bali serikali ndio iliyoleta haya machafuko

sasa hata kama waumin ndani ya kanisa wanamgogoro,wakichoma kanisa,,,,tutasema waislam,mchungaji aking'olewa madarakan akichoma kanisa,waislam,,,,,,,wapuuz kweli
 
Mkuu hii inashusha sana Adhi ya JF mtu analeta uzi alafu anataka member wadhibitishe...kwanini usifanye home yako ukileta uzi umetitosheleza?Mods kuweni makini la hili:smash:
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom