Wajumbe wa baraza na wawakilishi wa ccm wamekisusia kikao cha baraza la wawakilishi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wajumbe wa baraza na wawakilishi wa ccm wamekisusia kikao cha baraza la wawakilishi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by John W. Mlacha, Oct 19, 2012.

 1. J

  John W. Mlacha Verified User

  #1
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wa CCM
  wamekisusia kikao cha baraza la wawakilishi
  kutokana na fujo zilinazoelezwa chanzo chake ni
  kupotea kwa kupotea au kutekwa nyara kwa
  kiongozi mkuu wa kikundi cha Muamsho Amir Farid
  Hadi ambapo wamemtaka Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini na wa zanzibar kujiuzulu.
  Source: ITV
   
 2. paul milya

  paul milya JF-Expert Member

  #2
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 18, 2012
  Messages: 286
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Safi sana! Faida ya serikali yao mbovu mpaka!

  Wangerudisha na card zote ya chama cha majambazi!
   
Loading...