Sheik Ponda ni janga lingine la kitaifa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sheik Ponda ni janga lingine la kitaifa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by inspectorbenja, Oct 16, 2012.

 1. i

  inspectorbenja Senior Member

  #1
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 14, 2012
  Messages: 154
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  nimemuona kwenye tv jioni ya leo akizungumzia vurugu za mbagala -alikuwa yeye na wenzake nadhani ni masheik wenzage.hoja anayojenga anadau serikalu ndio ya kulaumiwa sababu haishughuliki matatizo ya kidini sababu rais kaenda kuangalia makanisa yaliyoharibiwa na hakwenda kuangalia misikiti ambayo polisi waliwapiga watu-akaonyesha na kilungu ambacho anadai wamekikuta msikitini.my take huyu sheikh ni **** na punguani amekwepa kabisa kuzungumzia unyama ukafiri na ufedhuli waliofanya kwa makani.
  sheik ponda ni ibilisi mwana wa nyoka aogopwe na kulaaniwa kabisa
   
 2. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Sheikh Ponda siyo janga kama sheria ingekuwa inachukua mkondo wake. Wacha serikali impe kichwa kwa kuendeakeza sera za udini.
   
 3. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,755
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  haya matendo yanayofanyika nahisi kuna mkono wa al kaida au boko! hii sio dini!!
  waislam tusikubali kutumika kwa maslahi ya watu wachache......wenzetu wanatutuma wao wanalipwa sisi tutafia segerea na familia zetu kutaabika
   
 4. A

  Antar bin Shaddad JF-Expert Member

  #4
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 202
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  hana hoja,uwezo mdogo wa kufikiri ni "sheikh ubwabwa" hakuna muumini wa kweli wa dini ya KISLAMU anayeweza kuchoma moto nyumba ya ibada ya madhebu mengine kimsingi hawa ni wahuni na makafiri waliojificha katika kivuli cha UISLAMU
   
 5. ugolo wa bibi

  ugolo wa bibi JF-Expert Member

  #5
  Oct 16, 2012
  Joined: Jul 16, 2012
  Messages: 1,233
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Huyo mzee ni uamsho!
   
 6. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #6
  Oct 16, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,522
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  wekeni cv yake hapa
   
 7. StayReal

  StayReal JF-Expert Member

  #7
  Oct 16, 2012
  Joined: Sep 29, 2012
  Messages: 519
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Huyu jamaa lazima analindwa sio bure.
   
 8. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #8
  Oct 16, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,880
  Likes Received: 1,563
  Trophy Points: 280
  sure mkuu i know muslims ndi ndugu/jamaa zangu nmeishi nao vizuri
   
 9. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #9
  Oct 16, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,531
  Likes Received: 884
  Trophy Points: 280
  cv ATOE WAPI HUKO KUKU MKUU??

  Kova si alisema atamkamata wakati wowote

  watanzania, shekhi ponda sio janga, ni mpuuzi mmoja anayejua serikali ni dhaifu na anaiburuza, he is like a spoilt b****

  wamtandike viboko marambili tu uone kama atakua anongea-ongea

  HIVI HAKUNA KABISA VIJA WA KIKRISTU KUMPFUNDISHA HUYU KUKU ADABU?
   
 10. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #10
  Oct 16, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,531
  Likes Received: 884
  Trophy Points: 280
  na hizo tivii zinazompa airtime ni pumbavu kabisa
   
 11. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #11
  Oct 16, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,880
  Likes Received: 1,563
  Trophy Points: 280
  Mkuu inspectorbenja huyo ponda kaonyeshwa tv gani? Nivizie marudio Sijawahi kumuona na hamu nae ile mbaya
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. m

  mpigauzi JF-Expert Member

  #12
  Oct 16, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 275
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu haya mambo sasa yanachosha
   
 13. m

  mpigauzi JF-Expert Member

  #13
  Oct 16, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 275
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hata sheria haina haja, zaidi busara za Rais tu. Kwa kweli yametukuta na Rais wetu huyu
   
 14. m

  mpigauzi JF-Expert Member

  #14
  Oct 16, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 275
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tatizo kubwa na elimu waliyonayo wenzetu hawa
   
 15. m

  mpigauzi JF-Expert Member

  #15
  Oct 16, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 275
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Star TV
   
 16. m

  mpigauzi JF-Expert Member

  #16
  Oct 16, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 275
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ah mkuu hapa sasa ....................
   
 17. l

  leekud Member

  #17
  Oct 16, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu mzee lazima awekwe chini ya ulinzi mkali sana maana ametusumbua sana kwenye sensa kiasi kwamba taarifa ya sensa inatiliwa mashaka, sasa analianzisha la udini na ndio hawa wanaisema CHADEMA ni chama cha kikristo.ya Huyu kova angefanya mambo yetu kama yale ya kule Mbeya wakati ule. Huyu Mzee angetulia kimyaaa.
   
 18. controler

  controler JF-Expert Member

  #18
  Oct 16, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 1,537
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  The later is the boss of the former. Other wise ni ndugu moja!
   
 19. Swts

  Swts JF-Expert Member

  #19
  Oct 16, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 3,072
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Ponda kutakuwa tu na mtu ampaye kiburi,siyo bure..
   
 20. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #20
  Oct 16, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,427
  Likes Received: 22,347
  Trophy Points: 280
  CV yake inaonekana jina tu, hana background ya kitaaluma, wala hana uzoefu wa kiutendaji.
  Bakwata waliuliza amegraduate chuo gani cha kiislam, akakosa jibu
   
Loading...