mkuu wa mkoa wa dar es salaam atoa tamko na kusema sheria na kanuni za nchi lazima zifuatwe, mihadhara imesimamishwa mpaka hali itakapokuwa salama na jeshi la polisi limejipanga vema katika...
Kufanya vurugu ,kuchoma makanisi ndio njia sahihi ya kuangamizi ukristoni jambo la kushangaza baadhi ya waislam wameona na wanesema wazi kabisa tataendelea choma hadi ukristo upotee kabisa... hapo...
Najaribu kutafakari kwa kina juu ya mwenendo wa nchi yetu hadi sasa ulipofikia, naikumbuka ile kauli ya mbunge wetu mh John Mnyika aliyoitoa bungeni ikasababisha atolewe nje ya ukumbi wa bunge...
Jumuiya ya Wazanzibari waishio UK ZAWA UK inasikitishwa na matukio ambayo yanaendelea kutokea huko nyumbani Zanzibar yaliyoanza kujitokeza jana tarehe 17/10/2012 ambayo yamesababisha vurugu kubwa...
Wana JF Katika pita pita zangu katika mitaa mbalimbali nimeshuhudia POLISI wakiwa mita chache tu karibu na misikiti ili kuzuia uvunjifu wa amani wowote unaoweza kutokea baada ya swala ya ijumaa..
Kila ninapofikiria juu ya Harakati za Mombasa Republican Council kuhusu kujitenga kwao na KENYA ili warudi ZANZIBAR kwa wakati huu, pia nikiangalia harakati za UAMSHO naona kama kuna kitu kibaya...
Kama kunawakati Kanisa linatakiwa lijitambue ni sasa, kwa nyakati tofauti kanisa limekuwa likisinzia kwa kile kilichukuwa kinaelezwa kuwa nchi hii ni kisiwa cha amani. Kanisa la Tanzania limekuwa...
naandika hapa nikiwa na hakika kuna mtu yoyote wa tra ambaye anaweza nisaidia, nina lori nataka kulitowa bandarini, kwanza nimelog na vielelezo vyote, ni wapi nimenunua na risiti za malipo ya...
Jaman nipo maeneo ya Ukonga mombasa. Naona gari zimejaa polisi FFU defender 5, Gari za maji ya kuwasha 2.
Vijana wameshajiandaa na wana bendera nyekundu na king'ora kinapgwa.
Kunanini tena...
hali ya vurugu zinazotokea bara pamoja na visiwani ni , kuonyesha jinsi gani Zanzibar au visiwani itakuwa mungano ukivunjika, kwamba vikundi vya kibabe, au kiukoo, au kisehemu watakavyo tawala...
Pamoja kwamba kukashifu dini au kiongozi wa dini ni jambo baya, vurugu za waislam za hivi karibuni kuua na kuchoma nyumba za mabalozi wa nchi kadhaa hazikustahili na zilivuga mpaka. Kashfa...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein amefanya mazungumzo na wananchi wa kijiji cha Chwaka na kuwapongeza kwa kufungua ukurasa mpya wa maelewano na...
Watu wasiofahamika usiku wa kuamkia leo wamevamia kanisa la kilutheri Yombo jijini Dar es salaam kwa lengo la kufanya uharibifu kanisani hapo majira ya saa 9 kasoro za usiku lakini walinzi wa...
Ninavyoandika Mabomu yanasikika kutoka msikiti wa Mtambani Kinondoni. Barabara ya Kawawa kupitia kinondoni Imefungwa kwa Muda Vijana wa Kamanda Kova wanarusha mabomu huku wengine wako juu...
Chanzo cha vurugu zilizotokea mwishoni mwa wiki iliyopita katika eneo la Mbagala kizuiani Wilaya ya Temeke jijini Dar-es-Salaam imeelezwa kusababishwa na mama mzazi wa Emmanuel Josephat (14)...
Askari usalama ameuwawa baada ya kufyatuliwa risasi na mwenzake kimakosa wakati akiwa katika harakati za kulilinda baa la mbawara lilioko aman mjini hapa...