Habarini zenu wanajamvi,
Nimekuwa nikifuatilia Post kadhaa bila kuchangia huku nikijiuliza maswali mengi sana,
Watanzania wengi si wakristo si waislamu wameonekana kutamani mno vita yaani mno.
Si...
Leo ni siku ya tatu DAWASCO wakiwa hawajafika kuziba bomba hili la maji katika eneo la Luguruni Stendi (Makondeko. Maji yanamwagika usiku na mchana, hakuna hatua zozote za kuziba bomba hili wakati...
Taarifa za kiintelijensia zinaonyesha baada ya kutawanywa na polisi, vikundi vya watu wanaofanya vurugu wamedhamiria kuchoma makanisa na kudhuru leo usiku. Kwa mantiki hiyo naomba kuwashauri...
Polisi wamefunga barabara ya hapa Posta Mpya na daladala zinageuza hazitumii tena kituo cha kawaida.
Hali inaonekana si shwari, wanajeshi wametanda! Taharuki inazidi kuongezeka kwa raia
PICHA...
Inaelekea serikali inataka kuwachanganya watu ktk hili swala zima ukisoma hati ya mashitaka aliyofunguliwa
Ponda hakuna issue ya yeye kuhusika na kuchoma kanisa wala hakuna aliyefunguliwa kosa...
Wana JF,nachukua fursa hii kuvipongeza vyombo vya ulinzi na usalama kuzuia uvunjifu wa amani leo ktk jiji la DAR.
Mgambo wamefanya kazi kubwa sana,wamegawa dozi ya kufa mtu! big up mgambo.FFU ndio...
Kuna habari kuwa usiku wa kuamkia leo kuna askari mwingine ameuawa na safari hii ni askari wa kike ambaye inasemekana nae ameshambuliwa na wanaodhaniwa kuwa ni wafuasi wa kikundi cha UAMSHO,huu...
Hatimaye jibu linapatikana leo hii mahakamani
Uamuzi ndoa ya Dk Slaa leo
Send to a friend
Thursday, 18 October 2012 22:50
James Magai
HATIMA ya ndoa ya Katibu Mkuu wa Chama...
Kinachoendelea nchini Tanzania ambapo vurugu zimeishatokea kinaelezewa kama vurugu za kidini. Je ni kweli ni chuki za kidini au kukata tamaa kwa watu wetu? Nimejaribu kujihoji na kuhoji mantiki ya...
HII NI ZAIDI YA TUPO WANGAPI :-
Jamaa alikuwa ulaya akamtumia mama yake email:
"Mama nina UKIMWI"
Mama yake akajibu:
Usirudi kabisa kijijini mwanangu maana :-
Ukirudi wewe utamuambukiza mkeo...
Hivi karibuni tumeshuhudia upepo mbaya wa mahusiano ya kidini kufuatia kukojolewa kwa msahafu wa waislamu na kisha kuchomwa moto makanisa na mali zingine kuharibiwa.Kilichofuatia baada ya tukio...
Imekuwa ni dhahiri na ni wazi kabisa kuwa sasa Waislamu wanafanya wanalotaka tena kwa kujiamini kabisa.
Hili limeonekana kuanzia harakati za Uamsho znz, Kugomea sensa, kuchoma makanisa nk.
Ni...
Vurugu kariakoo..
Ni habari za kweli mi niko ofisini ila kuna mtu ana spouse wake kampigia simu kuwa hali si shwari, mabumu na vya moto tinatembea huko! Mungu atuepushe na nguvu za shetani hizi...
msema kweli ni mpenzi wa mungu kusema leo channel ten.....wanastaili kupewa pongezi kwa kuonyesha matukio haya yafuatayo.......kwa siku ya leo
1.vurugu za mapambano vyombo vya ulinzi na kupigwa...
Waraka huu ni hatari tena unaonyesha wazi hawa ndugu zetu wameamua kuucha mziki huu uliopigwa sana 2010 na CCM,walitaadharishwa juu ya maneno yao leo wanahangaika kuuzima huu muziki...