JUMATATU, OCTOBA 22, 2012 05:57 NA KHAMIS MKOTYA
*Wakemea tabia ya kutoheshimu sheria
*Wasema fujo si mafundisho ya dini
*Wawaonya wanasiasa kutojitumbukiza
TAASISI ya Masheikh na Wanazuoni...
Kiongozi wa Jumuiya ya UAMSHO Shekh Farid Hadi Ahmed akishuka kwenye gari la Polisi kuelekea Mahakama ya Mwanakwerekwe kwenda kusomewa mashtaka yao yanayomkabili ikiwemo kusababisha fujo na...
Mwaka huu 2012 pekee kuna zaidi ya watu 75 walichomwa moto hadharani kwa tuhuma za wizi na zaidi ya Zeruzeru 90 walipoteza viongo vyao au kuuliwa kwa kukatwa mapanga na watu ambao wengi...
Inasemekana madereva wa Dar wamekuwa wakilikwaruza lamborghini la davie mosha kwa kulishangaa
Madereva hao wanakuwa wanashangaa na kutaka kupita karibu na gari hilo na matokeo yake wanajikuta...
The mysterious disappearance of the Islamic Revival Forum cleric, Sheikh Farid Hadi Ahmed, known as ‘Uamsho' has been unraveled after police claimed that the leader's awkward disappearance...
kama vurugu ndio solution mbona wenzenu wa Syria ni mwaka sasa wanauana kama kuku lakini hakuna mshindi?
Oneni Libya ghadafi kafa jee mnajua yanayojiri huko sasa?
Msipende kuiga ujinga jifunzeni...
Wakuu. Naona magari yamesheheni FFU na washawasha yote yanawasha vimulimuli maeneo ya kilwa road wamepaki Puma. Naona kama wako tayari na Hii barabara ya Kilwa magari yote kwenda mjini...
Nguvu aliyo nayo huyu jamaa kwa sasa tutegeme maajabu 2015.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akicheza muziki sambamba na Wanachama wa VICOBA...
Waislamu watafanya maandamano ya aman Musoma mjini leo hii tetesi ni kuwa wameshaanza kujikusanya kwa ajili ya maandamano haijulikani kama yatafanikiwa ama yana baraka ya jesh la polisi
Nikaona landrover zinapita kwa kasi za kijeshiii,.wa mara ya kwanza jeshi waliingia kutuliza vurugu nikiwa na ufahamu.
Nikaona Mabomu yakiruka juu huku wakina mama na watoto wakihahaha,hakika...
nikiwa maeneo ya tabata reli (MWANANCHI) nimeshuhudia usafiri wa treni ukipita na mabehewa mawili ambayo kwa haraka walioko mule ndani ni viongoz wa shirika hilo na wapo kwenye majaribio
update...
KUNA watu wanne hapa. Wote wanazungumzia jambo lile lile. Lakini watatu wanaofanya kazi ofisi moja wanapingana na mmoja. Tumwamini nani?
Upande mmoja yupo Dk. Stephen Ulimboka, ambaye alitekwa na...
Kwa taarifa za uhakika nilizozipata kutoka kwa ndugu yangu wa karibu anayeishi zanzibar ni kwamba tukio la kutoonekana kwa kiongozi huyo wanayedai katekwa ni kwamba ni mpango maalum wa viongozi wa...
Ndugu wana Jamii,
Naomba Msaada wa namba ya simu ya mkononi au ya ofisini ya Bwana Venance Mwamoto mkuu wa wilaya wa Kibondo Tafadhali. Email me at maigegeorge@me.com au ni inbox hapa JF tafadhali
TAASISI ya Masheikh na Wanazuoni wa Kiislam Tanzania imewaasa Watanzania kuzingatia utawala wa sheria na kutii amri za mamlaka zilizoundwa kwa mujibu wa Katiba na sheria za nchi.
Akizungumza na...
Nchi yetu iko katika hatari kubwa ya kuingia katika machafuko ya kidini yanayotokana na kufumbiwa macho chokochoko za kidini ambazo zimeanza muda mrefu sasa. Uvumilivu miongoni mwa waumini wa dini...
Vodacom imeanzisha huduma ya SUPA CHEKA ambayo wanadai kuwa inakupa muda wa kuongea, SMS na internet bandwidth kwa saa 24.
Cha ajabu ni kuwa unapojiunga kwenye huduma hiyo, bila kujali...
Heshima kwenu wana jamvi.
Tokea kuteuliwa kuwa waziri wa uchukuzi, mheshimiwa Mwakyembe ameonesha utendaji na uzalendo wa hali ya juu ikiwa ni dhamira kufufua hata huduma zilizokwisha sahaulika...