Kuliko vita niliyoiona katika ulimwengu wa roho bora CCM itawale milele: | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuliko vita niliyoiona katika ulimwengu wa roho bora CCM itawale milele:

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwanaharakatihuru, Sep 25, 2012.

 1. M

  Mwanaharakatihuru JF-Expert Member

  #1
  Sep 25, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nikaona landrover zinapita kwa kasi za kijeshiii,.wa mara ya kwanza jeshi waliingia kutuliza vurugu nikiwa na ufahamu.

  Nikaona Mabomu yakiruka juu huku wakina mama na watoto wakihahaha,hakika wakina mama walihangaika siku ya jana.

  Nikaona watu walivalia vitambaa usoni na ma rocket njema wakilipua magorofa makubwa ya posta likiwemo la bank kuu, na PPF tower.

  Mungu alizuia lisitokee japo wanao valia vitambaa usoni wanajulikana,Nikaona shule moja ikilipuliwa moto.

  Ashura Kayupayupa


  ‎#BewareThisFriday
  "We have been made aware of possible demonstrations today after prayers in the Chang'ombe and Mbagala areas and we have also heard that the demonstrators are targeting christian schools. Whilst we hope this is not the case we do have to advise you of these matters." From a credible source


  Makanisa yamechomwa pia hizi ni shule za Jumapili na kuabudia.

  Nikaona wanajeshi viongozi wakuu wakiwa wameuawa kiholela mabarabarani.

  Nikaona magari ya UN yakiwa yanapita ubungo yakiwa na askari wa kulinda usalama.

  Mungu alizuia lisitokee kwani wale makomando hawakuweza kuingia ikulu walizuiwa na usalama wa taifa.
  Nikaona vyombo vya habari vikiwa vinatoa historia ya Tanzania kwenye screen moja kubwa kwenye hotel moja.....radio na television zetu zilikuwa haziongei tulikuwa hatujui nini kinachoendelee.

  HAKIKA TBC amabayo ni ya wananchi haikutangaza.

  Nikaona pick up ya jeshi ikitangaza nchi imepinduliwa na watu wakawa wanashangilia mitaani kama mpira.
  Mungu alizuia lisitokee.

  Nikaona ikulu ikiwa inawaka moto.Mungu alisikia maombi ya makomandoo wale waliokamatwa wasiingie ikulu.....
  sikumuona rais wetu.Wakati haya yanatokea rais alikuwa yuko ziara ya kitaifa oman,Niliogopa nikaogopa sana kwani niliyoyaona yanatia huruma, wanawake walifanyiwa unyama mkubwa kwani walibakwa hadharani.

  Eeeh Mungu epusha hiyo hali na Wapendwa ombeni .

  Mungu akajidhihirisha na haya yakashindwa hakika Bwana hata angamiza nchi pasipo sema na watu wake.
   
 2. Mromboo

  Mromboo JF-Expert Member

  #2
  Sep 25, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 723
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 45
  TB Joshua mpya wa JF au?
   
 3. P

  Paul J Senior Member

  #3
  Sep 25, 2012
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 193
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Umechanganyikiwa?
   
 4. Sungurampole

  Sungurampole JF-Expert Member

  #4
  Sep 25, 2012
  Joined: Nov 17, 2007
  Messages: 987
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Usijali hizo ndoto huenda ni za kweli - CCM kwishney!
   
 5. Tigga Mumba

  Tigga Mumba JF-Expert Member

  #5
  Sep 25, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 747
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Kumbe ulipona? Bado sasa kukamatwa na kuteswa kwa uovu ulioufanya!
   
 6. h

  hippocratessocrates JF-Expert Member

  #6
  Sep 25, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 3,612
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Hivi kama kila mtu akileta Njozi(Maono) zake alizoona/kuonyeshwa katika "ulimwengu wa roho tutafika?
  -Je wale wasio na dini?
  -Nao wakisema mnaleta UDINI mtawalaumu?
  -Sasa mkuu Mwanaharakatihuru hiyo thread title na "njozi"
  mbona sioni hata uhusiano!

  I think ulipaswa kujua NJOZI/MAONO huwa hayana maana ile ile(Same meaning) na hutumiwa kwa mafumbo na huitaji ufafanuzi..sasa mvona unatupatia ABSTRACT thinking ukitueleza ndiyo CONCRETE thinking?!!
   
 7. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #7
  Sep 25, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,560
  Likes Received: 1,923
  Trophy Points: 280
  Hivi jukwaa la dini hakuna tena?
   
 8. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #8
  Sep 25, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,787
  Likes Received: 36,794
  Trophy Points: 280
  Atakayempinga Jakaya, atakufa. By Shekh Yahaya.

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 9. Neiwa

  Neiwa JF-Expert Member

  #9
  Sep 25, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 730
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45

  hahaha! Mkuu Jukwaa la dini la nini tena?
   
 10. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #10
  Sep 25, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,560
  Likes Received: 1,923
  Trophy Points: 280
  Wewe utakuwa ni yule mchungaji wa cuf!
   
 11. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #11
  Sep 25, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,739
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Asante. Punde humu wataleta mambo ya kitandani badala ya kuyaacha huko huko.
   
 12. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #12
  Sep 25, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,560
  Likes Received: 1,923
  Trophy Points: 280
  Hujasoma kuwa ni mambo ya ulimwengu wa roho?Ama na wewe hujishughulishi kufikiri?
   
 13. M

  Mndokanyi JF-Expert Member

  #13
  Sep 25, 2012
  Joined: Sep 6, 2012
  Messages: 629
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Huyu sio Nape kweli!.Binadamu kwa kutunga,kiboko!.
   
 14. kashengo

  kashengo JF-Expert Member

  #14
  Sep 25, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 2,646
  Likes Received: 463
  Trophy Points: 180
  Ukistaajabu ya Musa...
   
 15. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #15
  Sep 25, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,560
  Likes Received: 1,923
  Trophy Points: 280
  Huyu ametumwa,si unajuwa wanasema chadema ni chama cha wakristo?So sishangai kama huyu ni mchungaji wa cuf.

  Anayoyasema,ameconclude eti heri ccm itawale milele,angekuwa legitimate,ange suggest watu wafanye maombi nk.

  Nabii huyu ni wa uongo kabisa,hii wapeleke kule jukwaa la dini kama bado lipo.
   
 16. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #16
  Sep 25, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Hizi ndoto ni matokeo ya kula sana na ndio maana inaleta ndoto za kizembe namna hii mbona hujamalizia kwambe wa Dr.wa ukweli "Academic Doctor" akaapishwa kuwa president mambo yoto yakawa mswano ukaona wabongo wanabika kazi Shida za madaktari zikaisha,waalimu nao bata polisi hawachukui tena rushwa kila kona unakuta watu wamekula gwanda watuuuuuuuuuuuuuu peoplesssssssssssssssssssss
   
 17. M

  Mwanaharakatihuru JF-Expert Member

  #17
  Sep 25, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  jamani kama hutaki unaacha ila ni hatari......................
   
 18. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #18
  Sep 25, 2012
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mmhhhhuuu
   
 19. Thanda

  Thanda JF-Expert Member

  #19
  Sep 25, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,915
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mimi nakuunga mkono kwani hii ni supernatural. Ni mambo ya ndani sana katika ulimwengu wa roho...watu wanaweza kuona ni kama utani na siku moja ikawa kweli. Nawaambia hapa hakuna cha mambo ya dini kama wengine waqnavyodai ila kutokana na aina ya uandishi si kila mtu atakukubali, isipokuwa wachache akiwamo mimi. Army mutiny ilikuwa karibu itokee Tanzania enzi za Nyerere, kwani ingetokea haya yote yasingekuwepo? Haya Congo DRC iko bara gani? kwani wao hawana Mungu? Mbona vita kwao ndio salamu za asubuhi? Ivorians wanalia, wako bara Asia? Liberia mwaka 1992 haikukalika kabisa..mwimbaji wao wa reggae, Seydou Kone (Alpha Blond) akaimba Peace in Liberia, Peace in Monrovia..na nchi nyingine kibao za Afrika.
   
 20. Neiwa

  Neiwa JF-Expert Member

  #20
  Sep 25, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 730
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Nimejishughulisha, ila nikaona kama vile ni taswira zaidi, mana sioni hata la kujadili hapo.. Kachanganya imani humo humo, siasa humo humo kwa mtindo ambao ni ngumu hata kuzungumzia. Hivo nikaona zaidi kwenye habari na hoja mchanganyiko.
   
Loading...