Ndugu watanzania najuwa nikiasi gan mambo yametufika shingoni na kwakwel kufika 2015 ni kama tunaona msamiati vile taifa limeyumba, ajira hakuna, huduma za serikal mbaya, vijembe kila mahali...
Napenda kusema watanzania tusipate maumivu kwa yale yanafanyika ktk serikali hii, ila tambue kama Mungu alivyo achia J. K akawa rais pamoja na mapungufu yake ndivyo Mungu atakwenda kutupa kiongoz...
Kama Mtume alitumwa na Mungu na wote tunajua Mungu ana nguvu kwa sababu dunia na vyote viijazavyo ni mali yake kwa nini tuwapiganie Mitume waliotumwa na huyo Mungu?
mimi nikiwa kama mkristo na...
<font color="#000000"><span style="font-family: Lucida Grande"><strong>
Nimelazimia kuiangalia vizuri cv yake kama kweli alimaanisha.
MEMBER OF PARLIAMENT CV
GENERAL
Salutation
Honourable...
Habari za leo Wana JF?
Binafsi si mpenzi wa kuandika nyaraka lakini nimejikuta nalazimika kuandika waraka huu kwa uchungu mkubwa kutokana na mambo ambayo nimeyasikia na kuyashuhudia kupitia...
Hello..!
Kwa anayehitaji PlayStation 2 - Games Decks kwa ajili ya biashara ya kuchezesha games au kwa matumizi ya nyumbani zinapatikana kwa bei nafuu. Zimetumika kidogo so bei yake ni cheap...
Wakuu natanguliza shukurani kwenu,naomba kujua hii tasisi wakala wa vipimo Tanzania.Inaitwaje kwa kiingereza , au ndo wale wa TANROAD na TBS? Msaada tafadhali wana jf
Juzi wakati anafunga rasmi suala la uchaguzi wa CCM kwa wanawake raisi wa tanzania alitamka kukerwa na ununuaji wa kura ama waweza ita rushwa iliyogubika mwenendo mzima wa uchaguzi huo,kama...
siku ya Tarehe 10th October nilichangia mada ya hapo chini yenye wino mwekundu majuzi hapa tumeshuhudia machafuko na mauwaji pande zote mbilki za Mungano sasa kwa wale watu ambao bado ni (naive)...
Nisaidieni wakuu hivi mshawahi ona hizi bidhaa zikisafirishawa? kama vile bia,soda,fedha na vitu vingine hua vinasafirishwa aidha kwa magari au njia nyingine yoyote lakini sijawahi kuona gari la...
Asalam Aleikum!
Nimetokea kuwakumbuka waheshimiwa tajwa hapo juu kwa vituko walivyofanya muda mfupi waliopewa mamlaka, daah baada ya kumwagwa sasa hivi kimyaaa au ndo mnajipanga 2015 MTOKEJE? Fa...
Nenda hapa utazame mwenyewe uone Binadamu kugeuka Pipa
Kutana na Mtu Mwenye Uwezo Wa Kunywa Maji Lita Saba Na Kuyahifadhi Kwa Mda Mrefu kisha baadae Kuyatapika na Kuyanawa - TEEN TZ
Jamani jamani
nashangaa sana hawa wenzetu waliofanikiwa kufika vyuo vikuu wanavyo ishi maisha mabovu,mimi sikufanikiwa kufika chuo kikuu niliishia huku chini,nilifikiri waliofanikiwa kufika huko...
kwa mujibu wa taarifa ya habari redio crowds saa 12 jioni, kuna maneno yaliyosemwa bila shaka na mkurugenzi wa TPI, ya kwamba hapa tanzania hatuna kiwanda kinachotengeneza ARV.
Swali je wakina...
Aliyesikiliza jicho la ngombe leo atajua Gerald Hando sio Kibonde.
''Ni kweli ccm imefikia sehemu ya kushindwa kumshawishi mtu bila Hongo''
''Hivi ni kweli CCM- ndio Chukua Chako Mapema"
Hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.