Morogoro road nn tena

siku nikija ntakwambia, kwa sasa niko IRINGA, kwenye mwezi wa 12 ntakua nishafika uko......
 
Ndio Hayo hayo Tunalalamika kwenye Thread Nyingine ya poor planning ya Mkandarasi!! Watu Tunapata usumbufu Ila naona Hatujambana Vizuri Mkandarasi na Consultant!!
 
Back
Top Bottom