Madereva Dar waligonga Lamborgini la Davie Mosha kwa kulishangaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madereva Dar waligonga Lamborgini la Davie Mosha kwa kulishangaa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by C.T.U, Oct 18, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Inasemekana madereva wa Dar wamekuwa wakilikwaruza lamborghini la davie mosha kwa kulishangaa
  Madereva hao wanakuwa wanashangaa na kutaka kupita karibu na gari hilo na matokeo yake wanajikuta wakilikwaruza au kuligonga

  Davie mosha anasema anapata tabu kwani ni gari alilolinunua kwa pesa nyingi 1 billioni kutoka kwa mtoto wa bakhresa na halina hata miezi minne toka anunue

  My take
  Huyu jamaa ni nani hasa?
  Ana kampuni ipi? Ina dili na nini?
  Mwenye kumjua vizuri maybe watoto wetu tukawaambia wafuate nyayo zake
   

  Attached Files:

 2. m

  mpenyo Member

  #2
  Oct 18, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Nitalitafuta kwa ajili ya harusi yangu hilo!
   
 3. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  Hilo gari mtu lina vyumba vya kulala?
   
 4. Nyanya mbichi

  Nyanya mbichi JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 3,215
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  acha kutoa umaarufu usiostahilindio nn xaxa
   
 5. z

  zodiac Senior Member

  #5
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 109
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ficha ushamba wako, toka zako na Mosha wako! Kamsaidie kiendesha hilo gari sie tupo mjini na VITZ zetu c est la vie!
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Delina ceo chezeya rizmoko?
   
 7. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Niambie nini maana ya neno ushamba?
  Unajua mshamba anaendelea ila mwenye roho ya kwanini haendelei hata siku moja
   
 8. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #8
  Oct 18, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Mkuu sijakusoma fafanua hapo
   
 9. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #9
  Oct 18, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Kijana mbona uko nje ya mada au hujaelewa mada?
   
 10. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #10
  Oct 18, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  What do you understand about luxury cars?
   
 11. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #11
  Oct 18, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Kumbe bado hujaoa/ kuolewa mkuu?
   
 12. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #12
  Oct 18, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  Anamiliki delina enterprises, ni logistics company inasafirisha sana mafuta ya kenobil... Unaweza uka I google for more details, but inshort jamaa ni mjasiriamali
   
 13. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #13
  Oct 18, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mimi nilifikiri Lamborgin linapita katika barabara yake pekee kumbe ni humuhumu tunamopita sisi na vibodaboda vyetu, nimeshindwa hata kushangaa.
   
 14. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #14
  Oct 18, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Riz1 anaingiaje na kampuni yake?
   
 15. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #15
  Oct 18, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  Hayo ya riz 1 siyajui kaka, nachojua jamaa anamiliki logistics company
   
 16. matee

  matee Member

  #16
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 17, 2012
  Messages: 89
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 15
  acha waendeshe sisi tutaendesha yetu haya haya ya laki mbili
   
 17. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #17
  Oct 18, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,261
  Trophy Points: 280
  Hiyo lamborghin mbona hata siioni uzuri wake! Paw akisema ananihonga hii naiuza kesho yake nanunua vitz 20!
   
 18. 124 Ali

  124 Ali JF-Expert Member

  #18
  Oct 18, 2012
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 5,709
  Likes Received: 2,394
  Trophy Points: 280
  huo ndio uzuri wake-utanunua vitz 20!
   
 19. Eshacky

  Eshacky JF-Expert Member

  #19
  Oct 18, 2012
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 966
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  milioni 50 kurekebisha mchubuo! wabongo kwa kutaka sifa.
   
 20. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #20
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Ni CEO wa Delina Company,anahusishwa na zile Semi-Trailers 100 za Riz1 alizozisema Dr Slaa na Rev Mtikila zimewekwa kwanye kampuni yake.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...