Dr. Who: Choma Mwizi, Uwa Albino, Samehe Mafisadi-Usiguse Kanisa !!!

Dr.Who

Senior Member
Jun 23, 2012
173
33

Mwaka huu 2012 pekee kuna zaidi ya watu 75 walichomwa moto hadharani kwa tuhuma za wizi na zaidi ya Zeruzeru 90 walipoteza viongo vyao au kuuliwa kwa kukatwa mapanga na watu ambao wengi wanajulikana, hadi sasa hakuna mtu yoyote amepelekwa mahakamani.

Hii imeonyesha wazi kuwa Judicial system ya nchi yetu haiko(Fair) sawa, kwa hiyo siwezi shangaa watu wengi kuanza kuchukua sheria mikoknoni, na hili litaendelea kama hatuwa muhimu hazitochukuliwa, pamoja nakuwa na fair system yenye uwezo wa kusikiliza wote wanaohisi maonevu

Panapo vunjwa KIOO cha Kanisa, Sheria zinafatwa (in full swing) na nguvu zote za dola. Hivi ninapo andika watu zaidi ya 200 wamewekwa ndani kwa kuvunja vioo vya kanisa la Mbagala, Hakuna hata mmoja tongea wezi na mazeruzeru tokea tupate uhuru kawekwa ndani kwa mauwaji ya aliki wasio na hatia.

Nikweli serikali haina Dini, lakini niwazi serikali (iko-influenced) inafuata ridhaa ya wengi wenye dini Fulani wanaodai ndio wasomi kutekeleza wajibu wake.

Sasa niwakati wa kuhakikisha hizi Basic Human right principles zinafuatwa kwa nguvu zote Bila kujali maslai ya kanisa pekee, bali haki kwa kila mtu, kuanzia Vikojozi Christian, Wachomaji, Wachokozi wanaozika watoto wao kwenye Makaburi ya Waislam, Mafisadi, Wauwaji wa Albino na Wachakachuaji
wa Mitiani
 
Braza! Hebu niambie basic human right ya kuua, kuchoma moto kanisa, kuiba mali ya kanisa, kufanya mikutano ya hadhara kwa ajili ya kupandikiza chuki baina ya wanajamii mnazitoa wapi? Hizo basic rights zenu mmezitoa wapi? Pitia katiba na mikataba ya kimataifa kuhusu haki za binadamu halafu uje upya! Punguza kulalamika jenga utaratibu wa kujisomea na kutafakari kwa undani. Nadhani kuna haki unataka ziwe upande wako tu ila kumbuka hakuna haki isiyo na ukomo na hakuna haki bila wajibu!!!!! Tafakari maneno yangu ya mwisho.
 
una akili ndogo kwenye kisude la coca haijai.......siyo kuvunja yaani hata mkigusa kioo cha kanisa tunawafanya mboga shabash
:spy:
 
Braza! Hebu niambie basic human right ya kuua, kuchoma moto kanisa, kuiba mali ya kanisa, kufanya mikutano ya hadhara kwa ajili ya kupandikiza chuki baina ya wanajamii mnazitoa wapi? Hizo basic rights zenu mmezitoa wapi? Pitia katiba na mikataba ya kimataifa kuhusu haki za binadamu halafu uje upya! Punguza kulalamika jenga utaratibu wa kujisomea na kutafakari kwa undani. Nadhani kuna haki unataka ziwe upande wako tu ila kumbuka hakuna haki isiyo na ukomo na hakuna haki bila wajibu!!!!! Tafakari maneno yangu ya mwisho.

Nadhani umeshindwa kuelewa kiswahili, sikulaumu kwa sababu kusoma na kuelewa nitafauti, labda umekuwa mvivu kusoma ngoja nikupe muhtasari;

Ninachosema ni kwanini ukivunja kioo cha kanisa unapelekwa mahakamani lakini unapo mchoma binadamu kwa kumtuhumu ni mwizi, au anapo katwa mapaka albino au anapoiba fisadi hapelekwi mahakamani kwa nini,

Wezi wanaochomwa moto na maalbino kama wanaofanya vitendo hivyo hawapelekwi mahakamani nisawa na kuwavunjiwa universal princple human righ

Nadhani umeelewa ?/ sasa changia
 
Kwa sababu hujataka kunielewa sitaweza kuendelea kuchangia mada yako mpaka utakapojibu hoja yangu ya msingi.

We unataka tukujibu vile unavyopenda siyo kwamba unataka kuleta mada ijadiliwe, baki na unachokiamini, ila kaa ukifahamu hakuna haki isiyo na limitation na hakuna haki bila wajibu.

Una wajibu wa kuheshimu haki ya kila mwanadamu hadi wanyama siku hizi wana haki, nashangaa mtu anakwenda kuchoma banda la nguruwe kule Ruvuma bila ya kufahamu kuwa ana wajibu wa kulinda na kuheshimu haki ya yule mnyama ya kuishi.

Unaposema fisadi, muuaji Albino yote hayo unataka kujustify unachotaka kukisema, nina akili sana mkuu, I can read your mind, unataka tuwajadiki waliopelekwa mahakamani leo. Am not ready kuongelea watu wanaokuwa na jazba hadi kufikia kutaka kumchinja binadamu mwenzao kisa?

Unachoma kanisa ili? Kama umeonewa mahakama zipo mbona hamtaki kuzitumia? Why? Ona wakristu wametulia na haki itatendeka, hakika nakuapia, wale wahuni watafungwa tuu, mlisema wale sio waislamu sasa unahangaika nao sababu gani? Why? Kama wale sio waislamu why inakuuma? Si mlisema wale ni WAHUNI?

Kama unakuta umeonewa mahakama zipo, kwa nini usifuate taratibu zilizowekwa? Mnataka kuleta mambo ya enzi za kesi ya Dibagula? Unajua yule jamaa aliponea wapi?

Tujaribu kuheshimiana na kujua kuchukuliana, watu tunajisahau kuwa tuna ndugu kwenye hizi jamii? Ukute shangazi mkristo, dada kaolewa na muislamu and so on. Unataka vurugu then kesho tunaanza kuchinjana kama mahayawani. What for? Why?

Hao walioko mahakamani ni WAHUNi so let the court determine their innocence why should you be worried? Mbona mahakama hiyohiyo inamuhukumu yule dogo aliyekojolea quran? Mbona hakuna mkristo anayehangaika kupiga makelele? Si tunajua kuwa mahakama ndiyo itaamua kulingana na sheria na kanuni za nchi?

Let's preach peace jamani ili tuweze kupata wasaa wa kutafuta pesa vijana wetu wasome.
 
Mwaka huu 2012 pekee kuna zaidi ya watu 75 walichomwa moto hadharani kwa tuhuma za wizi na zaidi ya Zeruzeru 90 walipoteza viongo vyao au kuuliwa kwa kukatwa mapanga na watu ambao wengi wanajulikana, hadi sasa hakuna mtu yoyote amepelekwa mahakamani.

Hii imeonyesha wazi kuwa Judicial system ya nchi yetu haiko(Fair) sawa, kwa hiyo siwezi shangaa watu wengi kuanza kuchukua sheria mikoknoni, na hili litaendelea kama hatuwa muhimu hazitochukuliwa, pamoja nakuwa na fair system yenye uwezo wa kusikiliza wote wanaohisi maonevu

Panapo vunjwa KIOO cha Kanisa, Sheria zinafatwa (in full swing) na nguvu zote za dola. Hivi ninapo andika watu zaidi ya 200 wamewekwa ndani kwa kuvunja vioo vya kanisa la Mbagala, Hakuna hata mmoja tongea wezi na mazeruzeru tokea tupate uhuru kawekwa ndani kwa mauwaji ya aliki wasio na hatia.

Nikweli serikali haina Dini, lakini niwazi serikali (iko-influenced) inafuata ridhaa ya wengi wenye dini Fulani wanaodai ndio wasomi kutekeleza wajibu wake.

Sasa niwakati wa kuhakikisha hizi Basic Human right principles zinafuatwa kwa nguvu zote Bila kujali maslai ya kanisa pekee, bali haki kwa kila mtu, kuanzia Vikojozi Christian, Wachomaji, Wachokozi wanaozika watoto wao kwenye Makaburi ya Waislam, Mafisadi, Wauwaji wa Albino na Wachakachuaji
wa Mitiani

We unajua una mambo ya udini sana! I wonder why were you born in this universe! We kwa akili yako unaona Kanisa ndiyo linapendelewa?

Hebu nikuulize swali, nyumbani kwako una watoto wawili wa kiume, mmoja ni msikivu anapenda shule na anafanya vizuri, ana adabu, anasaidia kazi za nyumbani nk. Mwingine ni mvutabangi, hataki shule, anatukana wazazi wake na anaamini yule mwingine anapendelewa so anamchukia, anampiga, mkorofi hashikiki. Hapo wewe utakuwa unampenda yupi? Nijibu kwa kutumia logic ya kawaida kabisa.

Lazima kuna kundi la watu wataona wanaonewa maana hawataki kuheshimu mzazi wao anayewaambia pendaneni, chukulianeni na sameheaneni. Kila siku mtoto anatukana wazazi wake, baba kila mtaa analipa madeni ya mtoto mkorofi, baba amefika wakati hadi majirani wanamsema. Unadhani mtoto kama huyo utamfanya nini?

Kuwa makini sana unapotaka kutoa malalamiko yako, wanasheria wana msemo wao kuwa ' he who alleges must come with clean hands' and 'If you want equity you must do equity'. Huwezi kuomba kutendewa haki wakati we mwenyewe hautendi haki, unataka kuomba haki lakinui mikono yakop ina damu ya uchomaji kanisa na kuiba vifaa vya kanisa, hiyo haki unayoitaka upewe na nani? The court is not your mother bro! Pale ni interpretation of the law and application baaasi, hakuna kuamua kesi kama inavyoamuliwa nyumbani. Maana nyumbani unaweza ukasuingiziwa ili umfurahishe mtoto kuwa chakula alikula Dr Who wakati kilimwagwa ili kumaliza noma.

Jitahidi ujisomee huzo sheria vizuri upate kujua wapi mnakosea! Utakuwa mfano mzuri kwenye jamii yenu.
 
Kweanini nyie wazito sana wa ulewa mnatatizo gani ?

Hebu nifahamishe kwanini wanaochoma wezi na kuuwa maalbino hawapelekwi mahakamani, lakini ukivunja kanisa sheria inapamba moto, Hivi kanisa ni muhimu kuliko maisha ya binadamu wanaouwawa bila sababu? nijibu... sio kuleta ngonjera....
 
Ukisema wauaji wa albino hawashitakiwi utoe na ushahidi pia!!! Tofauti na hapo ni udini uliosheheni ushetani ndio unaokusumbua!!!
 
Ndiyo namshangaa na mie maana anadhani mahakamani unashtaki tu kiholela!!! Ya wachoma kanisa na mkojolea quran ipo wazi, wote ushahidi upo wasubiri kupewa haki yao!
 
Kweanini nyie wazito sana wa ulewa mnatatizo gani ?

WeHebu nifahamishe kwanini wanaochoma wezi na kuuwa maalbino hawapelekwi mahakamani, lakini ukivunja kanisa sheria inapamba moto, Hivi kanisa ni muhimu kuliko maisha ya binadamu wanaouwawa bila sababu? nijibu... sio kuleta ngonjera....

Wacha kuwa mbishi babu! We ndiyo huelewi mbona? Nadhani hata ukielimishwa hutaelewa elimu aliyokupa Zodiac imetosha sana wewe unaiita ngonjera! We wa hovyo sana!
 
kweanini nyie wazito sana wa ulewa mnatatizo gani ?

Hebu nifahamishe kwanini wanaochoma wezi na kuuwa maalbino hawapelekwi mahakamani, lakini ukivunja kanisa sheria inapamba moto, hivi kanisa ni muhimu kuliko maisha ya binadamu wanaouwawa bila sababu? Nijibu... Sio kuleta ngonjera....
unauhakika na ulichoandika?????????i wonder y unatoka povu kiasi hicho kufananisha matukio tofauti kabisa na kinachoendelea unataka kuniambia watu hao hawana makosa????i have been following ur threads na majibu yako kuna kitu unatafuta ila trust me hutakipata hapa unapoteza muda wako kama vipi nenda kajiunge na wenzako walioko barabarani hapa unapoteza muda mkuu....!!!!
 
Tatizo la mtoa mada ana chuki na ukristo na imemnyima fursa ya kufikiri
 
Mwaka huu 2012 pekee kuna zaidi ya watu 75 walichomwa moto hadharani kwa tuhuma za wizi na zaidi ya Zeruzeru 90 walipoteza viongo vyao au kuuliwa kwa kukatwa mapanga na watu ambao wengi wanajulikana, hadi sasa hakuna mtu yoyote amepelekwa mahakamani.

Hii imeonyesha wazi kuwa Judicial system ya nchi yetu haiko(Fair) sawa, kwa hiyo siwezi shangaa watu wengi kuanza kuchukua sheria mikoknoni, na hili litaendelea kama hatuwa muhimu hazitochukuliwa, pamoja nakuwa na fair system yenye uwezo wa kusikiliza wote wanaohisi maonevu

Panapo vunjwa KIOO cha Kanisa, Sheria zinafatwa (in full swing) na nguvu zote za dola. Hivi ninapo andika watu zaidi ya 200 wamewekwa ndani kwa kuvunja vioo vya kanisa la Mbagala, Hakuna hata mmoja tongea wezi na mazeruzeru tokea tupate uhuru kawekwa ndani kwa mauwaji ya aliki wasio na hatia.

Nikweli serikali haina Dini, lakini niwazi serikali (iko-influenced) inafuata ridhaa ya wengi wenye dini Fulani wanaodai ndio wasomi kutekeleza wajibu wake.

Sasa niwakati wa kuhakikisha hizi Basic Human right principles zinafuatwa kwa nguvu zote Bila kujali maslai ya kanisa pekee, bali haki kwa kila mtu, kuanzia Vikojozi Christian, Wachomaji, Wachokozi wanaozika watoto wao kwenye Makaburi ya Waislam, Mafisadi, Wauwaji wa Albino na Wachakachuaji
wa Mitiani

Summarize nini madhumun ya uzi wako..go strait to the point
 
Nadhani reaction inaangalia impact zaidi. Usipochukua hatua kwenye uchomaji wa kanisa halafu jamii ya wakristu ikalipuka kwa jazba madhara ni makubwa zaidi kuliko kuchomwa kibaka mkata madirisha...
 
Ukimfuatilia utajua anamaanisha nini!!! Mdini plu plus plus! Hataki kujielimisha na mifano yake irrelevant, hataki kujielimisha anataka kusimama na anachokiamini kilichojengwa kwenye misingi ya biasness sasa unadhani utamsaidiaje mtu kama huyo? Anaongelea haki za binadamu bila ya kufahamu kuwa huwezi kupata haki kama hautendi haki.

Unamchinja mtu ni kumnyima haki ya kuishi then ukikamatwa unataka utendewe haki. Jamani wapi na wapi? This is realy aproblem in our society.
 
Nadhani reaction inaangalia impact zaidi. Usipochukua hatua kwenye uchomaji wa kanisa halafu jamii ya wakristu ikalipuka kwa jazba madhara ni makubwa zaidi kuliko kuchomwa kibaka mkata madirisha...

Sawa Mkuu, hakuna mtu aliepinga kuchukua hatua za kisheria kwa kikojozi au alie choma kanisa, nakubali kabisa wakati mwingine inabidi uchukue hatua haraka kwa kuogopa reaction.

Je niwangapi walichukuliwa hatua,wanapochoma Vibaka au kuuwa maalbino? au asishitakiwe mtu kwa sababu hakuna reaction?

Kwa mawazo haya hatuwafanyii haki vibaka, albino na familia zao, kwa sababu hakuna watu wa kuwafanyia reaction,Ndio maana na conclude kuwa Serikali ipo kwa kulinda maslai ya kanisa zaidi kuliko ya watanzania walio wengi
 
Akili yako wewe sio timamu, acha uchonganishi, nenda shule ukasome sio unakadhania madrasa halafu unaishia kuwa mganga wa kienyeji kusomea watu ramli.

Umefikia kikomo cha kufikiri, siwezishangaa, nikawaida yenu, kaa pembeni
 
Back
Top Bottom