Maandamano makubwa ya waislamu Musoma mjini leo hii

Magesi

JF-Expert Member
Jul 10, 2012
2,587
573
Waislamu watafanya maandamano ya aman Musoma mjini leo hii tetesi ni kuwa wameshaanza kujikusanya kwa ajili ya maandamano haijulikani kama yatafanikiwa ama yana baraka ya jesh la polisi
 
Waislamu watafanya maandamano ya aman musoma mjini leo hii tetesi ni kuwa wameshaanza kujikusanya kwa ajili ya maandamano haijulikani kama yatafanikiwa ama yana baraka ya jesh la polisi
Hivi Musoma hakuna POLISI? mabomu ya machozi yameisha huko?
 
Waandamane jinsi wapendavyo, ni haki yao bali la msingi waache kushambulia watu wengine na mali zao na waache kauli za uchochezi kuhamasisha uvunjifu wa amani.

Sidhani kama waislamu wangeamua kuandamana hata 24x7 wakitangaza uzuri wa Allah, Muhamad (SAW), Pepo, n.k. kwa mujibu wa imani yao kungekuwa na tatizo lolote.

Mwislamu ukihubiri Nabii Issa siyo Mungu hiyo ni sahihi kabisa kwani ndivyo Qur'an isemavyo. Lakini mwislamu unapoanza kuhubiri Yesu sio Mungu na kuanza kutafuta mistari ndani ya Biblia kuthibitisha hilo, hapo panakuwa na tatizo!

Jumuiya iliyosajiliwa kwa ajili ya kueneza dini inapoanza kuhubiri siasa kupitia mlango wa dini hilo nalo ni tatizo. Otherwise, nawatakia maandamano mema ya amani kwa ajili ya kuitangaza dini yao.
 
Waislamu watafanya maandamano ya aman Musoma mjini leo hii tetesi ni kuwa wameshaanza kujikusanya kwa ajili ya maandamano haijulikani kama yatafanikiwa ama yana baraka ya jesh la polisi

Acha uongo. Waislamu wa Musoma hawatoshi kuandamana ni wacheche sana:lie:
 
Well said!!!!!
 
Mkuu sababu ya maandamano ni nini?

Waislamu watafanya maandamano ya aman Musoma mjini leo hii tetesi ni kuwa wameshaanza kujikusanya kwa ajili ya maandamano haijulikani kama yatafanikiwa ama yana baraka ya jesh la polisi
 
Sidhani kama wanafikia 150. waache hawatagusa Mali ya mtu huko wanajua kitakachofuatia wakifanya ujinga wa DAR.
 
Jana walikuwa wanapita mitaani na kutangaza kuwa "leo saa nane na nusu watakuwa na Mkutano mkubwa sana katika uwanja wa Mukendo na Kongamano hilo haliwahusu "Mayahudi" na "Wakristo" kwa jisi hali ilivivyo na mwenendo wa hawa jamaa kuonesha chuki za wazi wazi dhidi ya watanzania wenzao sijui nchi hii tunaelekea wapi??
 
Wakiandamana uko basi nitakubaliana na wadau wanaosema hawa jamaa kuna kitu kimemiss kichwani.
 
Back
Top Bottom