Kiongozi wa Jumuiya ya UAMSHO Shekh Farid Hadi Ahmed akishuka kwenye gari la Polisi kuelekea Mahakam

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797

DSC03072.jpg


Kiongozi wa Jumuiya ya UAMSHO Shekh Farid Hadi Ahmed akishuka kwenye gari la Polisi kuelekea Mahakama ya Mwanakwerekwe kwenda kusomewa mashtaka yao yanayomkabili ikiwemo kusababisha fujo na uchochezi.
DSC03059.jpg
Gari la Polisi la pili ambalo liliwachukuwa Viongozi wa Jumuiya ya UAMSHO ambao walishitakiwa kwa makosa ya kufanya fujo na uchochezi likiwa linasindikizwa na magari ya Polisi kuja Mahakama ya Wilaya ya Mwanakwerekwe.
Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar

Askari wa kikosi cha kutuliza ghasia wakiwa wanaimarisha usalama katika eneo la Mahakama ya Wilaya Mwanakwerekwe ambapo Viongozi wa Jumuiya ya UAMSHO walipelekwa kwenda kusomewa mashitaka yao.
DSC03069.jpg

Mmoja kati ya Viongozi wa UAMSHO Shekh Azan Khalid Hamdan (43) akishuka kwenye gari la Polisi kuelekea Mahakamani Mwanakwerekwe kwenda kusomewa mashtaka yao.
Askari wa kikosi cha kutuliza ghasia wakiwa wanaimarisha usalama katika eneo la Mahakama ya Wilaya Mwanakwerekwe ambapo Viongozi wa Jumuiya ya UAMSHO wali Baadhi ya Wananchi walioenda Mahakamani hapo kwenda kushuhudia kesi inayowakabili Viongozi wa Jumuiya ya UAMSHO ambao walikosa dhamana na kurudishwa Rumande.
 
mbona kama anabusha!? ha ha ha
kisha aache kutumia vidole viwili, alama hiyo ina umiliki
 
Msichokijua kuhusu wana Uamsho, Wanzanzibari wengi ni wana uamsho by heart, hebu tuwapatie wanachokita ili wana uamsho watulie na kugeuka ni wana ulalo!.
 
:msela:umejuaje kuwa hajatekwa ? siku zote serikali haiwezi kukiri kuwa wamemteka. hata dr ulimboka alipotekwa serikali ilikana kumteka japo yeye anasema ni serikali imemteka.


 
Sheikh Farid akabidhiwe kwa Ramadhan Igondu ili ang'olewe meno na kucha bila ganzi kisha atupwe msitu wa mabwepande!
 
safi sana limefikishwa mahakamani ligaidi si ajabu hili ni limoja na osama bin laden yaone linavyofanana ningekuwa mimi hakimu leo ningetoa hukumu ya kunyongwa hadi kufa watu kama hawa hawana faida kabisa katika jamii yetu ni kuwaua tu wasiwepo kabisa
 
Huyu si shehe bali mhuni na shehena. Anasingizia kutekwa kwanini polisi wasimfanyie kweli? Laiti angeenda zake Oman akajaribu hiyo sanaa yake aone cha moto. Tumewalea hawa vimelea vya utumwa watatutia kwenye matatizo siku si nyingi.
 
Back
Top Bottom