Siri nzito kuhusu kutoonekana kwa kiongozi wa UAMSHO Zanzibar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siri nzito kuhusu kutoonekana kwa kiongozi wa UAMSHO Zanzibar

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by AL-SALAM, Oct 18, 2012.

 1. A

  AL-SALAM Member

  #1
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 17, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa taarifa za uhakika nilizozipata kutoka kwa ndugu yangu wa karibu anayeishi zanzibar ni kwamba tukio la kutoonekana kwa kiongozi huyo wanayedai katekwa ni kwamba ni mpango maalum wa viongozi wa kikundi hicho kuwa wamfiche ili wapate kisingizio cha kufanya uharibifu zanzibar..na kikao hicho kilifanyika huku kiongozi mmmoja aliyesimamishwa kazi na rais shein akiwemo.hivyo wana uamsho wa ndani zaidi wanajua kuhusu tukio hili na kiongozi wao yupo anaangalia yanayojili huko.sasa wana uamsho wanatumia nafasi hii ili waweze kufanya uvunjifu wa amani eti kudai muungano uvunjike...pia kuna mtu anaitwa anajulikana kwa majina kifupi h.g huyu mwanazuoni elimu haijamsaidia ni hatari habari zaidi ntawajuza ndio wanasaidia fedha kutoka kwa wafadhili ili zitumike kufanya uhaini zanziabar...ntawarudia baadae..nyumba aliyokuwa amewekwa pia kaamishwa baada ya kuisi watashtukiwa.nawasirisha
   
 2. K

  Kadogoo JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2012
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,072
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Huyo ndugu yako kwa hakika kama sio CCM mhafidhina ni Chadema!!! taarifa hizo ni za kichochezi! lengo kuu ni kutaka kuwagonganisha viongozi wa Uamsho na wafuasi wao!!! siasa za divide and rule!!! siasa za maji taka!!!!
   
 3. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  AL-SALAM? Jina lako tu limekuumbua! Ungekuwa umesalimika ungeandika AS-SALAAM!
   
 4. JIULIZE KWANZA

  JIULIZE KWANZA JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 2,573
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Karibu jamvini Naona Imeingia na viatu bila kukaribishwa shekh! Wewe Kama sio Usalama basi lazima uwasaidie maana Inaonekana Unajua mengi sana
   
 5. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Umbea tu huu.
   
 6. m

  mkataba Senior Member

  #6
  Oct 18, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0


  Uzushi mtupu, kapige chupa
   
 7. mpalu

  mpalu JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2012
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 2,490
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 145
  kwa nini asiwe CUF....INA MAANA UAMSHO NI TAWI LA CUF
   
 8. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #8
  Oct 18, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  Uamsho ni kikundi cha uhamasishaji cha CUF kama ilivyo TOT kwa CCM, si unakumbuka TOT iliimba , wapinzani tuwalete tuwachane chane tuwatupe, ​ na hawakukemewa.
   
 9. K

  Kadogoo JF-Expert Member

  #9
  Oct 18, 2012
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,072
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Cuf ni chama cha haki sawa kwa wote!!! sio chama cha kufitinisha watu!!!! hata kama Uamsho wote ni mashabiki wa CUF kuna ubaya gani? ni kinyume cha katiba? mbona wagalatia wote mlihimizwa Makanisani kuipigia kura Chadema uchaguzi wa 2010?
   
 10. kanywaino

  kanywaino Senior Member

  #10
  Oct 18, 2012
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 171
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  MH BASI KAZI IPO...SERIKALI INAKAZI SANA HAPO. hapo watu roho juu sipati picha nawewe si utaje jina kamili la huyo muhusika H.G SIO KUTUPA NUSUNUSU.MUNGU IBARIKI TZ
   
 11. mpalu

  mpalu JF-Expert Member

  #11
  Oct 18, 2012
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 2,490
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 145
  hakuna ubaya hata kama watanganyika,waunguja na wapemba wote wakiwa cuf...ubaya ni kuchoma maskani za ccm...kukatisha uhai wa ustaadh Said wakati naye ana haki ya kuishi kama wengine...
   
 12. h

  hadija1 Member

  #12
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 18, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Vip Ally na Ali, mansur na mansoor.Reasoning zetu bwana ndo maana hawa wakristo huwa wanatuita sisi ni wa madrasa tu
   
 13. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #13
  Oct 18, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Yaano wote, wanaume na wanawake, mume mmoja mke mmoja. Au?
   
 14. brasy coco

  brasy coco JF-Expert Member

  #14
  Oct 18, 2012
  Joined: Apr 25, 2012
  Messages: 1,293
  Likes Received: 579
  Trophy Points: 280
  hapa kuna namna mtu gan akamatwe hata watu wasione au ndo ujasusi?? Lakin kuna wakat jamaa alijpeleka polisi baada ya mwenzake kukamatwa na hawakumkamata yeye.....inawezeka ikawa wanasheza shele watu kumficha huyo inawezekana sababu hawa Uhamsho ndo Cuf tofaut n ya majina tu na wamekuja upande wa dini ili kuwateka wengi na baada ya wengne kugundua wameachana nao sababu jamaa hawa watumiwa na baadh ya viongoz na wala hawana nia ya Dini kama Me Muislam nasema Uhamsho hawapganii Dini wanapgania Wanayoyajua wenyewe wanaopgania Dini vdume vya kwel vpo Libya wao n bure wanafk wanataka kututmia vijana kufanya fujo na watawapata wengne waliokosa kazi kama maisha yako magumu yatabaki magumu tu hata awe Rais nan Elimu huna kazi utaki hata kujiajili mwenyewe utaki unataka maskani halafu oohh!
   
 15. REMSA

  REMSA JF-Expert Member

  #15
  Oct 18, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2,569
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Any thing can happen"
   
 16. Meljons

  Meljons JF-Expert Member

  #16
  Oct 18, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 2,591
  Likes Received: 157
  Trophy Points: 160
  huyu hg lazima awe hatari maana najua Hg ni mercury
   
 17. B

  Bayana JF-Expert Member

  #17
  Oct 18, 2012
  Joined: Sep 25, 2012
  Messages: 433
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Lugha yako ya taifa ni lugha gani? Inaonekana unataka kutugombanisha watanzania. Omba msaada wa kufundishwa kiswahili kwanza wewe mwenye 'elimu' na 'kazi'!
   
 18. Christine1

  Christine1 JF-Expert Member

  #18
  Oct 18, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 12,266
  Likes Received: 1,197
  Trophy Points: 280
  mi nakubali kabisa,inawezekanaje mtu ashuke mwenyewe kwny gari na apande lingine,halafu useme amwtekwa?huu ni mpango yu hakuna lolote
   
 19. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #19
  Oct 18, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  yani huo mfano wako mi mbavu zangu hoiiiii
   
 20. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #20
  Oct 18, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Acha kuchanganya mambo wewe, hicho ni kiarabu huna hiyari ya spelling kama ulivyoonyesha. Unataka kusema weak na week ni sawa? Halafu madrassa maana yake ni shule! Uko kwenye siku zako nini? Pole!
   
Loading...