Usafiri wa reli huoooo...! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Usafiri wa reli huoooo...!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by HUNIJUI, Oct 22, 2012.

 1. HUNIJUI

  HUNIJUI JF-Expert Member

  #1
  Oct 22, 2012
  Joined: Oct 10, 2012
  Messages: 1,441
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  nikiwa maeneo ya tabata reli (MWANANCHI) nimeshuhudia usafiri wa treni ukipita na mabehewa mawili ambayo kwa haraka walioko mule ndani ni viongoz wa shirika hilo na wapo kwenye majaribio
  update ztakuja punde
   
 2. HUNIJUI

  HUNIJUI JF-Expert Member

  #2
  Oct 22, 2012
  Joined: Oct 10, 2012
  Messages: 1,441
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  kazi kwenu
   
 3. Fyong'oxi

  Fyong'oxi JF-Expert Member

  #3
  Oct 22, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 267
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  picha plse
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Oct 22, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Umeme ukirudi watu huoooooooooooooooooooooooo!!!!!!
   
 5. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #5
  Oct 22, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,140
  Trophy Points: 280
  safi sana mtoto wa Kinyakyusa
   
 6. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #6
  Oct 22, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,140
  Trophy Points: 280
  LIMESHAPITA, tungoje second round
   
 7. B

  ByaseL JF-Expert Member

  #7
  Oct 22, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 2,223
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  9 days to go! Will Mwakyembe deliver or will it turn out to be hot air?
   
 8. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #8
  Oct 22, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Sasa hawa jamaa mbona kila siku wanapanda wao tu. Majaribio kila siku!
   
 9. f

  filonos JF-Expert Member

  #9
  Oct 22, 2012
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 651
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  mwanzo mgumu kishelia hizo Reli zinatakiwa ziwe 2 kwenda na kuludi mambo pole pole tuombe mafanikio..
   
 10. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #10
  Oct 22, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Ukabila huo, mpe mtu credit kulingana na uwezo wake, sio kabila lake.
   
 11. D

  Disailly Senior Member

  #11
  Oct 22, 2012
  Joined: Oct 18, 2012
  Messages: 129
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  hapa ndio tunaona ukali wa mwalyembe kaka kaza butti jamaa walisema nguvu ya soda
   
 12. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #12
  Oct 22, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Ninahamu kubwa sana ya kupanda Treni kutokea Dar kuja Arusha! Hii nakumbuka wakati nasoma sijui kama Mwakyembe atawezana na nguvu ya wenye mabasi!:A S 39:
   
Loading...