Hivi kijiji cha Maisha Plus kiko wapi?

Hivi kijiji cha Maisha Plus kiko wapi? Jibu - MABWEPANDE je umeridhika?
Ukichukua jibu ulilotoa, + avatar yako ilivyo + location yako, NIMERIDHIKA! Watu wa type yako tunao wengi hapa JF na hatuwezi kuwatupa! Kwani ukizaa mtoto mwenye mtindio wa ubongo utamtupa? Unakwenda nae na KURIDHIKA na kila analofanya!!!
 
Najaribu kucheki kwenye orodha ya vijiji vilivyopo Tanzania, sijaona hili jina!!!
 
*Hivi hii kitu bado ipo tu. Maana ilikufaga mwaka 2010 baada ya kuchemka vibaya kutokana na kuiga BBA, kumbagua msichana mwenye asili ya somalia, kuigiza badala ya kuwa halisi, upendeleo kwa baadhi washiriki, kumwagwa kwa ''sumu'' kutoka Kwa washiriki walioshindwa nk.

*Kwa kuwa siangaliagi TBC tena hivyo sijui mamdhari ikoje, lakini kwa mujibu ya mleta mada mmoja humu JF inadaiwa kijiji hicho kiko maeneo ya Bagamoyo, hii ni baada ya Malima(mpenda machangudoa) kuropoka siku ya ufunguzi wa mashindano.
 
Kipo kijiji cha Pande,Bagamoyo.
Kuna mtu nasikia alijichanganya akataja mahala kilipo.
 
*Hivi hii kitu bado ipo tu. Maana ilikufaga mwaka 2010 baada ya kuchemka vibaya kutokana na kuiga BBA, kumbagua msichana mwenye asili ya somalia, kuigiza badala ya kuwa halisi, upendeleo kwa baadhi washiriki, kumwagwa kwa ''sumu'' kutoka Kwa washiriki walioshindwa nk.

*Kwa kuwa siangaliagi TBC tena hivyo sijui mamdhari ikoje, lakini kwa mujibu ya mleta mada mmoja humu JF inadaiwa kijiji hicho kiko maeneo ya Bagamoyo, hii ni baada ya Malima(mpenda machangudoa) kuropoka siku ya ufunguzi wa mashindano.

Kipo Mkuu, angalia TBC usiku saa 4 au 5 usiku kama sijakosea
 
Kijiji hiki hiki uhama kulingana na sehemu. Maisha plus ni mchezo hivyo eneo wachezealo huitwa kijiji cha maisha plus. Miaka ya nyuma mchezo huu ulichezewa Kigamboni, mwaka huu kijiji hiki kiko Bagamoyo
 
Wako pande karibu na beach ya mbegani!watakapojenga bandari ya kusafirishia gesi.....(JK ameyasema akiwa Muscat)
 
kipo hapa:
SAM_2046.JPG
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom