Kitendo cha Waziri wa Elimu, Phillipo Augostino Mulugo kuaibisha Nchi yetu mbele ya alaiki ya wageni south Afrika si cha kufumbia macho, nilazima awajibishwe.
Waziri huyo wa Elimu alisema, muungano wa Tanzania inatokana na muungano wa Visiwa vya Pemba na Zimbabwe.
Kitendo hicho kinachoonyesha viongozi wetu wengi hawana ufahamu wa asili na makubaliano ya muungano, wamekariri maneno ya Nyerere, sasa niwakati wa kuuangalia upya muungano tulio nao au kuuvunja ikibidi.
Ulevi uliokubuhu unachangia kiasi kikubwa kwa viongozi wetu kuwa na utendaji na maamuzi mabovu, viongozi wetu baada ya kazi wanakesha vilabu vya pombe katika ya wiki (Monday-Sunday) ambapo anategemewa asubuhi ku-ripoti ofisini.
kwa wale wanao elewa athari za ulevi, kitendo cha kunywa pombe nusu usiku, unapo amka hangover itaendelea hadi mchana wote, inawezekana kabisa hiki ndicho kilicho mpata waziri wetu wa elimu.
Kwa hayo naungana na Uamsho pamoja na Sheikh Ponda kpambana muungano dhalimu na ulevi holela hasa jijini Dar ambao unachochea ufisadi, Ukimwi,utendaji mbovu wa Kazi n.k