ufisadi mwingine bukombe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ufisadi mwingine bukombe

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by oruguyo, Oct 22, 2012.

 1. oruguyo

  oruguyo Senior Member

  #1
  Oct 22, 2012
  Joined: Jul 28, 2012
  Messages: 111
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  mkurugenzi mtendaji wa halimashauri ya wilaya ya Bukombe/mbogwe mkoani Geita amewaonya Watumishi wapya waloajiliwa mwaka 2012 wilayani humo kuwa wanachama wa mfuko wa LAPF la sivyo watakiwa waache kazi baadhi ya wa2mish nilokutana nao wametishia kwenda mahakamani kwani hawaja wahi kuingia mkataba na mfuko huo wa jamii huku wengine wengi wao wakiwa walimu wakitishia kuwa tayali kuacha kazi kama hawata kubaliwa kujiunga na PSPF na wengine wakilazimika kutafta uhamisho.Wakwenda ktk halimashauri nyingine popote nchini.
   
 2. NEGLIGIBLE

  NEGLIGIBLE JF-Expert Member

  #2
  Oct 23, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 358
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  du,kumbe sielewi vizuri tafsiri ya ufisadi!
   
Loading...